dogojanja 87
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 882
- 213
Tatizo watu wengi wanaichukia UDSM kwasababu walikua na dreams za kusoma pale ila wakakosa nafasi sababu ya ufaulu mdogo,ni ukweli usiopingika kile ni chuo bora east africa na kina historia na heshima kubwa ndani na nje ya nchi! wakufunzi wa viwango vya juu mfano prof shivji,kabudi,dr lwaitama.. na kimetoa na kinaendelea kutoa wanaharakati makini kama kina tindu lisu,zito kabwe,josh nassari na wengineo..