FINCA ni ya wa finland?



Anyway ila swali ambalo mimi huwa nawauliza watu wengi ambao huwa wanalalamika kuwa wanadhulumiwa na hawa watu wanaowakopesha ni hili
dogo tu
hivi mtu unavyoenda kuomba mkopo si huwa kuna Terms na Conditions ambazo mtu huwa anasoma na Ku SIGN?

sasa iweje mtu alalamike kama kwa akili ya kawaida tu aliona kuwa muda ambao mkopo unaoenda kuuchukua huwezi kuurudisha?
 

kiukweli hawasaidii wananchi bali wanawanyonya tu. interest rate ni kubwa so inakua burden kwa clients. from my experience wengi wa wafanyabiashara wadogo na wakati hawaendelei balu biashara zinakufa tu.

ni ya waamerika ilianzia south america (el salvador)

kwa hapa tanzania kuna branch 23

africa zipo branch 5

worldwide ina operate north america..asia..africa. pia nchi za euope zinazipakana na asia

hii ni taasisi nyingine ya kumulikwa maana inakandamiza uchumi wa wajasiriamali..
 

Hawana Wi-Fi? Damn it man!

Fountain drinks je? Wanaruhusu refills?
 

C.T.U tatizo watu wetu hawana muda wa kusoma mikataba. wao wakifika pale wanachokua mi kuanguka saini na kuchukua pesa.

sasa ukijumlusha na poor money management plus biashara haina control nzuri wanajikuta wanashindwa kulipa mkopo.

riba pia ipo juu sana.

1. 48% per annum

2. 42%

3. 36%

sasa hapo mteja anakua na mzigo mkubwa sana kulipa mkopo.
 
Last edited by a moderator:

Financial management ni taaluma kama jinsi zilivyo taaluma nyingine za udaktari, sheria, uhasibu etc. Hawa watu hawana taaluma hii.

Fanya small assignment, mfuate mtu msomi kabisa injinia or any other msomi geologist, mwanasheria etc. Mpe hesbau ndogo. Mwambie kama umekopa sh. milioni 10 kwa interest ya asilimia 15 halafu ukaulipa mkopo kwa miaka mitano, je jumla bank unairudishia sh. ngapi.

Wengi watakwambia 1.5 mil, wengine watasema 11.5. Lakini as a matter of fact bank utairudishia 7.5 millions + 10 millions so jumla 17.5 millions jumlisha na gharama za kuombea mkopo (huwa kuna gharam fulani tunaziita hidden charges).

Marketers wa mikopo wanaongea kwa lugha ya kumfanya mtu adhani kuwa atarudisha 1.5 mil. Na mtu aliye kwenye shida hata hana uwezo wa kupiga mahesabu hiyo pesa itarudi kwa biashara gani inayozalisha that much. Anajikuta anaingia kwenye mkopo usiolipika na kufilisiwa.

Ofcourse kama watu wazima wako responsible kwa decision wanayofanya lakini kwa vile swala lenyewe ni la kitaalamu ndio tunaona kwamba wale wakopeshaji hawaheshimu maadili ya kazi yao. Maadili na sheria ni vitu viwili tofauti.
 

The Boss hii ni kampuni ya wa north americans.

still it a microfinance though imepewa leseni kumobilize savings kwa wateja but haijapewa kibali cha kuoperate as commercial banks.
 
Last edited by a moderator:
Hawana Wi-Fi? Damn it man!

Fountain drinks je? Wanaruhusu refills?

Hii ya refill ndio nilimwambia jamaa niliyempeleka hajaniamini akasema natunga, eti hakuna kitu kama hicho "si wangepata hasara"!!!
 


kweli kabisa tuna safari ndefu sana ndugu yangu
 

Kwa majuu hao loan sharks huwalenga watu wenye shida kubwa ya pesa ambao hawawezi kupata mkopo/mikopo kwenye taasisi za kawaida za kifedha.

Sasa kwa mtu mwenye shida kubwa ya pesa wakati mwingine hiyo shida inamfanya asijali sana kilichomo kwenye fine print wakati akiwa kwenye mchakato wa kuchukua mkopo huo.

Ila baadaye sasa akili ikishatulia na uhalisia wa ubaya wa huo mkopo ukianza kujitokeaza, ndo mambo yanakuwa machungu kama shubiri.
 


kuna haja ya watu wawe na considerations na consultations company kwa kweli kabla hawajaanza kufanya miradi mbali mbali
ziko chungu nzima mpaka vichochoroni ila hakuna watu wanaoenda kupata some consultations
 
kweli kabisa tuna safari ndefu sana ndugu yangu

na tatizo pia la wafanyabiashara wetu wadogo hawaelewi kabisa. pamoja na kuws riba ni kubws lakini hawana tabia ya kuinvest pesa yote ya mkopo kuendeleza biashara. sasa hapo inakua ni changamoto sana katika ulipaji.

au mtu meingine anachukua mkopo badala ya kuendeleza biashara alonayo anaanza biadha mpya bila kufanya thorough research matokeo yake biadhara mpya inakufa na pesa yote alitupia hapo.

sasa ndugu unadhani hapo wataacha kumkombea hadi stuli?
 
kuna haja ya watu wawe na considerations na consultations company kwa kweli kabla hawajaanza kufanya miradi mbali mbali
ziko chungu nzima mpaka vichochoroni ila hakuna watu wanaoenda kupata some consultations

Kujua kwamba wanahitaji consultation nayo ni elimu ambayo watu wetu wengi hawana.
 


kuna siku bwana hapa nilitoa wazo la watu tuwe na Mutual Funds zetu sie watanzania watu hawakunielewa...
tukiwa na strong Mutual Funds zetu

kutakuwa hakuna cha Finca sijui Bayport wala blah blah blah yeyote
 


bora hao walioanzisha biashara wengine wakichukua mkopo

mkopo wote wanamalizia kwenye VITI VIREFU
 

Nyani Ngabu huku majority ya wafanyabiasha wanakuwa hivyo pia. na mbaya zaidi wanakuwa na multiple loans. usishangae mtu ana kiosk kidogo tu lakini ana mkipo Finca Access Akiba na Opportunity.

akiona deni limemkalia vibaya anaenda kukopa kwingineanafuta deni huku anaanza kudaiwa kwingine. its really sad.. unaelimisha mpaka unachoka.
 
Last edited by a moderator:
Kujua kwamba wanahitaji consultation nayo ni elimu ambayo watu wetu wengi hawana.

most of hawa wafanyabiashara wadogo they dont care. wao wanajipa moyo kwa kusema wanatumia uzoefu wala hawahitaji elimu.

ila kuna wachache ambao wanazingatia ZeMarcopolo and unaona tofauti kabisa katika biashara zao.
 
Last edited by a moderator:
Kujua kwamba wanahitaji consultation nayo ni elimu ambayo watu wetu wengi hawana.

most of hawa wafanyabiashara wadogo they dont care. wao wanajipa moyo kwa kusema wanatumia uzoefu wala hawahitaji elimu.

ila kuna wachache ambao wanazingatia ZeMarcopolo and unaona tofauti kabisa katika biashara zao.
 
Last edited by a moderator:
kuna siku bwana hapa nilitoa wazo la watu tuwe na Mutual Funds zetu sie watanzania watu hawakunielewa...
tukiwa na strong Mutual Funds zetu

kutakuwa hakuna cha Finca sijui Bayport wala blah blah blah yeyote

Mutual fund watu walishakiria halafu wakadhurumiana. Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa NICOL?

Sasa hivi ni ngumu sana kuwaconvince watu, labda within your circle of friends.
 
bora hao walioanzisha biashara wengine wakichukua mkopo

mkopo wote wanamalizia kwenye VITI VIREFU

upo sahihi but ni risk kubwa sana endapo biashara haitafanya vizuri wanashindwa kulipa matokeo yake ndo kuanza kukimbizana na kubeba collaterals.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…