Ona sasa ulivyokuwa mshamba na mjinga unaleta quotes za watu uliambiwa wapi forex ina kitabu kimoja chenye maarifa yote forex kila mtu anaweza kutunga kitabu chake kama umeanza juzi tulia. na hao wanaondika vitabu wengi hawtrade wanauza vitabu tuThank you for your fixed mind pisi Kali..naona umeanza taarabu..kifup wewe huna akili ni mvivu,unaongozwa na emotion, unasikiliza watu bila personal research,kichwa chako kimejaa mifupa akili kidogo ndo maana unakurupuka kureply bila kusoma maudhui ya threads,ni mihemuko tu ndo imekutuma kujib wewe hukuwa na la kujibu apa, ulitakiwa ukae pembeni kisa tu ulisikia Fulani kapoteza hela forex tayali umeshaconclude na wew,bila ata kufanya research kwa wanaopiga pesa wanafanyaje! Control ur emotions bro.
NB, kama unafikiri waandishi wa vitabu wanajifurahisha tu awaandiki vitu halali ni mawazo yako acha watu wachimbe waujue ukweli
Robert Kiyosaki aliwah kusema ukitaka kumficha mwafrica kitu weka kwenye vitabu
We kama ni mvivu wa kusoma acha wenzako wasome we zunguka tu na vyeti vyako maofisin ukitafuta kazi ipo siku utaombwa ili upate ajira na utatoa
Nakushauri, kama unataka kuwa financially free jichimbie ndani kuanzia miezi 6 na kuendelea soma vitabu,Fanya practice utapata knowledge that will feed you and your family all the rest of your life..
Acha kejeli kwa vitu usivyovijua tafta ukwel kwanza ata sis tulikuwa kama ww wabishi kama ww na wengine humu jf, but now najuta kwa nn sikuanza mapema labda ningekuwa kwenye level za kina Sandile, Ref whyne, DJ coach, okello odingo na wengine waliofanikiwa..
Unakariri majina ya watu huyo sandile shenzi alishawai kuja bongo akatapeli watu ni mkenya kama sijakosea ulikuwa hujui kipind icho nn maana ya forex na hao unawataja isjui dj coach huyo fbk (foex broker killer) anapiga darasa kubwa ndo anapiga mpunga
Acha kuleta quotes za wazungu hujitambui hata ukikuta kweny kitabu kumeandikwa binadamu ni nyani utakubali kuwa na akili acha ujinga
Niambie kati ya hao ulitaja hawapatii pesa nyingi sokoni zaidi ya kufundisha na kuuza vitabu kuwa smart