Msaada unaoomba, ni upi, ni vema ukiwa na tatizo utoe maelezo ili mtu anaehitaji kukusaidia ajue specifically nini hasa unahitaji. Hilo swali lako haijulikani kama unahitaji chuo ambapo hiyo course inatolewa, fees, time frame etc, kwa tathmini ya haraka you are not serious