Download #root checker basic from playstore, then download 360 root from http://m.apkhere.com/down/com.qihoo.permmgr_6.4.2_free You are done install it then just open it without commanding anything coz it is in chinese so u can touch inappropriate place, just open it and close it, then go to open root checker then click VERIFY ROOT, then u will see a pop up in chinese language with two options one white and the other is green which is counting decreasingly, so u have to click on white part and u r done. All the best, if u stuck anywhere ask me.
sawa lkn still kna watu bado hawajui,,,yng ni easy
google tu maana ya rooting utajua yote
nilijua tuu lazima utakuwa mmbabaishaji wewe sio bure.
kwanza unashindwa kuelezea hata nn hicho unachosema watu waku pm sababu sio wote wenye ujuzi na wanao weza kingereza.
harafu hata hayo uliyoweka hapo ni mambo ya copy na kupest .kama ungekuwa na uelewa na hicho kinachotakiwa kufanya ungeweza kueleza hapa kwa kiswahili.
najua ulikuwa unakimbilia PM maana ulijua kabisa kuwa kwa watu wanaofaham lazima hawata kufuata huko na ulikuwa unaogopa kushushuliwa

Ku-root ni kufanyeje? Ina umuhim gani? Na ipo android pekee, je iOs haipo? Please kama kuna mwenye majibu, thanks
Haha wabongoo
Wamefanyaje tena..