Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,265
- 1,092
Ilikuwepo lakini ilikuwa katika beta version. Na kipindi hicho watu waliweza ku-upgrade kwa kujiunga na "Windows Insider" ili kusaidia ku-address bugs. Lakini sasa hivi imefikia kwenye release candidate, na hapa imekaribia kuwa stable lakini inakuwa inafaa kwa matumizi ya kila siku. Hivyo Microsoft wamerelease update officially kwa Windows phone users ambao wanaweza kufanya upgrade kwa njia rasmi (official upgrade).Kwani haikuwepo?
sisi wa 512mb ram wametuchinja
waliahidi kutupa nashangaa wamekuja kukana baadae.Duh. Sasa hii 620 kama nayo imechinjwa si shida hii.
waliahidi kutupa nashangaa wamekuja kukana baadae.
simu za snapdragon s4 zote hazijapata
640 au 640xl version ya lte, au 650. pia kama 830 zinashuka bei kama utaipata hii itakuwa nzuri zaidiMuda si mrefu nitaachana nayo hii 620. Kwa bajet ya laki 3.5 mpaka laki 4 nitapata simu gani nzur ya wp? Angalau hata yenye 4G
Tafuteni 950 na 950 XL ili ku enjoy windows 10.
Nina 820 nimeweka windows insider hivyo napeta na windows ten ,vipi nitaipata official au nayo imechinjwa mkuu !!!??? CHIEF MKWAWA
Ilikuwepo lakini ilikuwa katika beta version. Na kipindi hicho watu waliweza ku-upgrade kwa kujiunga na "Windows Insider" ili kusaidia ku-address bugs. Lakini sasa hivi imefikia kwenye release candidate, na hapa imekaribia kuwa stable lakini inakuwa inafaa kwa matumizi ya kila siku. Hivyo Microsoft wamerelease update officially kwa Windows phone users ambao wanaweza kufanya upgrade kwa njia rasmi (official upgrade).
Ilikuwepo lakini ilikuwa katika beta version. Na kipindi hicho watu waliweza ku-upgrade kwa kujiunga na "Windows Insider" ili kusaidia ku-address bugs. Lakini sasa hivi imefikia kwenye release candidate, na hapa imekaribia kuwa stable lakini inakuwa inafaa kwa matumizi ya kila siku. Hivyo Microsoft wamerelease update officially kwa Windows phone users ambao wanaweza kufanya upgrade kwa njia rasmi (official upgrade).
mimi nasubiria mpaka nipewe msg ya ku update to window 10 sitaki haraka.Ilikuwepo lakini ilikuwa katika beta version. Na kipindi hicho watu waliweza ku-upgrade kwa kujiunga na "Windows Insider" ili kusaidia ku-address bugs. Lakini sasa hivi imefikia kwenye release candidate, na hapa imekaribia kuwa stable lakini inakuwa inafaa kwa matumizi ya kila siku. Hivyo Microsoft wamerelease update officially kwa Windows phone users ambao wanaweza kufanya upgrade kwa njia rasmi (official upgrade).
Inapatikana kwa Amazon au Ebay, kwa hapa Dar sina uhakika.Inapatikana kwa bei gani hiyo??
kwa laki 4 unaweza ukanunu simu nyingi sana za bei nafuu kama tecno h5,h6 nk ambazo utanunu na chenji inabaki ya kuelekeza kwenye matumizi mengine ya kimaendeleo,ni ushauri tu huo mkuu,un less unaweza ukatumbuliwa jipu wenye nchi wakikusikia tenaMuda si mrefu nitaachana nayo hii 620. Kwa bajet ya laki 3.5 mpaka laki 4 nitapata simu gani nzur ya wp? Angalau hata yenye 4G
region? language?Baada ya kuUpdate to windows ten , cortana imepotea Kindly advise
Ilikuwa US lakini kumbe cortana ilikuwa disabled na ikiwa disabled haionekani hata kweny settings. Nimefanikiwa ku Enable na inafanya poa. Issue nyingine ni hii CALL BLOCKER haionekani kwenye settings hadi uende kwenye call hostory ndio inapatikana. Sijui hii imekaaje kwa model zingine za lumiaregion? language?
mpaka lugha na eneo vifanane na cortana awe anavijua mfano english us