Finally, nimeweza kuvuka kipindi kigumu

ngoja akuwahi kabla haujaaccomplish mission.
au pengine nae anakuchora tu.. wanawake mostly tunaumia once baada ya hapo tunazoea.
 

Same song! Good
 
What is next, God doesn't know, cause God is Love! It's you and the devil that know!
 
amenifanyia kitu ambacho sikutegemea and kumuadhibu nimeamua kumsamehe ili nipate muda mzuri wakumuumiza kama ambavyo amenifanyia
Laiti tungejua wanachotuwazia wenzetu sijui dunia ingekuwaje, anyway, lipiza tu maana hamna namna nyingine.
 

Umeongea mambo mengi ya msingi sana, ila hilo la mkosaji kutubu kwa Mungu na kufanya naye amani, nafikiri linaenda sambamba na kumuomba msamaha na kufanya amani na yule binadamu uliyemkosea pia. Kama yule binadamu uliyemtendea ubaya bado anateseka kutokana na jambo baya ulilomfanyia, sioni ni jinsi gani utafanya amani tu na Mungu bila kuomba msamaha pia na kufanya amani na yule binadamu uliyemkosea... Sijui, labda inategemea na aina ya kosa...
 

Yes you are very right, kama utaweza na kumuomba mtu msamaha muombe tu kwa amani yenu wote pia. Ila inatagemea, sio mara zote unaweza kumpata yule uliyemtendea vibaya na kumuomba msamaha. Na kuna mwingine hata umuombaje msamaha ni hataki kusamehe; na wakati mwingine kuna mtu anaweza akakuumiza na asijue kama amekuumiza au akachukulia kama ni kitu cha kawaida tu. Siku akiamua kumuomba msamaha Mungu kwa dhambi zake zote anazozijua na asizozijua je hatasamehewa?

Cha msingi wewe uliyekosewa usiweke uchungu moyoni, kuna watu wanazuia baraka zao nyingi tu kwa sababu mioyoni mwao wamejaza uchungu. ukiishi pasipo kusamehe, je utavuna nini? unazidi kuifunga nafsi yako kwa wale waliokuumiza. Na mwisho wa siku kisasi ni cha Mungu pekee
 
i am not wasting any time,,,nafanya mambo according to my time table
 
Duh. Inaonekana umeumizwa naye sana. Achana Na habari za kutaka kumuumiza, achana naye tu Na tafuta mwingine utakayetulia naye.
that simple mkuu,,noo way
 
Ila fanya kitu roho yako inataka man, my take Angalia usijiumize zaidi ukiamua kuwa katili temana na mambo ya huruma, kuwa katili zaidi ya kauzu

Sent from my SM-A300F using JamiiForums mobile app
 
ningekua nina nia yakufanya ivyo atanisingeleta uzi mmu,,,ningelimaliza kiume ila sina mpango wakumsamehe kirahisi
 
"Toa wembe, nitoe kisu"

Mkuu "akuanzae, mmalize!" Naunga mkono hoja. Mkuu upo DSM? Mana wanaume wa DSM tunajuana zetu!
hahhaha pamoja mkuu,,,ndio dar
 
hahaha iv navyosema i have calculated the risks hua hamuelewe ee,,,ayo unayoyaongelea tayar nimesha ya asses so dont bother
 
Duh. Inaonekana umeumizwa naye sana. Achana Na habari za kutaka kumuumiza, achana naye tu Na tafuta mwingine utakayetulia naye.
hahaha mkuu uyu lazma nimjutishe hakuna namna nyngne
 
Unataka umrekodi afu siku ya harusi yake u-break the internet?
 

Ila, am sure pia mafundisho ya kiroho yanafundisha kwamba ni budi kabisa kumuomba binadamu uliyemkosea msamaha sambamba na kumuomba Mungu msamaha. Ndio maana inashahuriwa unapomkosea mtu ni vyema na ni busara ukaomba msamaha mara unapogundua kuwa umekosea ili usije ukakosa chance ya kumuomba msamaha pindi yule mtu anafika mwisho wa safari yake ya hapa duniani.
Kama una nia ya dhati, kwa dunia ya sasa ukiamua kumtafuta uliyemkosea ili muombane msamaha kwa asilimia kubwa uwezo wa kumpata upo.

Dhana ya kumuomba bianadamu uliyemkosea msamaha ili Mungu naye akusamehe inatokana, kwa mfano, lile jambo ulilomtendea yule mtu ni baya na ovu kiasi kwamba bado linaendelea kumuumiza na kumuaribia yule mtu mfumo wake wa maisha. Hapa kumuomba Mungu msamaha ni budi kuende sambamba na juhudi za dhati za yule anayeomba msamaha kuonyesha kwamba anatambua alilolifanya na ametubu. Tuseme kwamfano mtu kamdhulumu mwenzake kiasi kwamba ile dhuluma imeharibu kabisa utaratibu wa maisha wa yule mtu, hapo nafikiri kama kuna uwezekano wa kurudisha kilichodhulumiwa ni budi kufanya hivyo kwanza kabla ya kuomba msamaha kwa Mungu. Na pia kama haiwezekani kurudisha ni budi mkosaji aka-aknowledge kwamba ni yeye aliyesababisha ile dhuluma na kwamba anatubu. Na hii pekee itampa faraja yule aliyedhulumiwa. Maana mtu hawezi kuomba msamaha kwa Mungu at the same time anaendelea ku-enjoy matunda ya ile dhuluma aliyoifanya wakati yule mwingine anaendelea kuumia.
Na pia kumbuka unapokwenda kumuomba binadamu uliyemkosea masamaha, unampa na yeye chance ya kuondoa hasira, chuki na machungu aliyonayo moyoni mwake.

Lakini ni kweli pia unavyosema, kama unamejaribu kumuomba mtu msamaha na yeye hataki, hapo wewe utakuwa umeshatimiza wajibu wako mbele za Mungu na kazi itabaki kwa yule aliyekosewa ku-make peace na Mungu wake na kujaribu kusamehe aliyemkosea otherwise anaendelea kujiumiza yeye mwenyewe.
Na ni kweli pia kama kuna dhambi ambazo umetenda bila kujijua ukimuomba Mungu atakusamehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…