Basi wadau wameshaona ujumbe.Bado hajapatikana😂😂
Ndio hapo ntaanza kuwa mfano,. " Si mnamuona shangazi yenu ambavyo hajaolewa na nyie endeleeni.....,. Mtazeekea nyumbani kama shangazi yenu." 😂😂
Mmmh Min hii mbona iko personal Sana😂😂😂Na kame pauka , huo mguu umepasuka kwenye visigino nyoka anaweza jificha huko, ila kalivyo na kiherehere na shigo yake ndefu kama ndege John sasa🚮
Pesa hata za kubadilisha mboga bila wasiwasi , na uishi maisha yako bila kulalamika zinatosha.Hivyo vingine vyote nimequalify,. Hapo kwenye hela ndio najiona kabisa shangazi kaja Mimi😂
Wakuu habari za nyie...
KWa hakika siku hazigandi, na hawakukosea walivyosema "What goes around comes around"!
Vile tunavyowaonaga ndugu upande wa Baba miyeyusho hasa mashangazi, tunavyowaonaga hawana maana, na sifa zote mbaya na matatizo tunayatupiaga kwa ndugu upande wa baba.
Hatimaye little brother katuletea kanew born na sisi (nikiwemo na mimi) tushakuwa mashangazi upande wa baba! Nasubiri tu nizeeke nianze kuitwa mchawi wakiumwa waseme shangazi ndio anawaroga!
Sema fresh Nakubali
Shangazi yule mpuuzi sana ,hakawezi ishi maisha yake bila kufuatilia watuMmmh Min hii mbona iko personal Sana😂😂😂
Em tuambie kwanza shangazi alikufanya nini?
Waambie waje chap uwanja uko wazi,. Chamsingi waje wakiwa na Applications fees mikononi😂Basi wadau wameshaona ujumbe.
Fungua PM tu waje.
Mimi nishazeeka ningekimbilia nafasi faster.
Ukichelewa unajikuta kama vijana walioomba vyuo wanalia wamekosa nafasi kisa walichelewa ku-confirm.
Katika vitu vya kuwa makini , kama kaka yako ana mke wake ishi nae kwa umakini mkubwa sana , mashangazi wanaanza kuwa miyeyusho kwa kuleta bifu na umbea na wake za kaka zaoHapo chamsingi ni kuishi maisha yangu Tu ,. Hayo mengine niwaachie wenyewe
Kwakweli nipambane niitwe Aunt Leejay,.
Msamehe jamani mambo hayakwenda vizuri,.Sawa shangazi miyeyusho.
Shangazi Alinijaza moto, nikaandaa mpango Kazi .. ATI Biashara gani ina lipa hapo mujini..
Vifaa vya kielektroniki . ..
Ahadi kibao .. Nikatafuta frame .. suppliers mwisho wa siku shangazi kaingia mitini ... ATI oh waliniibia kule saiti ...
Mashangazi siyo pooa
Mashangazi miyeyusho sanaSasa si watoto wake lazima awafatilie😂
Kwamba waingereza wote ni wakishua🤣Likishakua la kingereza basi linasound kishua😬
Kutaka kujipa umuhimu kwenye maisha ya kaka zao,. Ndio maana tunawaonaga hawana maana.. Yaani wanataka wapewe treatments sawa na anazopewa wifi yao.. ( Tatizo ndio linaanziaga hapa )Katika vitu vya kuwa makini , kama kaka yako ana mke wake ishi nae kwa umakini mkubwa sana , mashangazi wanaanza kuwa miyeyusho kwa kuleta bifu na umbea na wake za kaka zao