Finally, i trust no one.

Finally, i trust no one.

Hata jf pia huiamini?? Manake kuna watu pia[emoji15]
Anyway ngoja ni subscribe kabsa kwenye huu uzi ila visa vyako visiwe kama isidingo.......
 
Mkuu nimesoma jina lako LA kwanza napata ukakasi sana kulitamka naishi kulisoma kisir siri[emoji86]
 
Hata jf pia huiamini?? Manake kuna watu pia[emoji15]
Anyway ngoja ni subscribe kabsa kwenye huu uzi ila visa vyako visiwe kama isidingo.......
i-77 south or i-77 north?[emoji15]
Kwani jf mtu?
 
Karibu tena mkuu. Nahisi kutakuwa na improvements.....
 
Pole sana..ila jipe moyo Mungu hutengeneza njia mahali pasipo na njia yote ni mapito ya duniani ..usikate tamaa ...
 
Back
Top Bottom