Finally: Huawei e173 unlocked!!!

Finally: Huawei e173 unlocked!!!

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
444
Habari zenyu wakuu,
Hatimaye huawei e173 ambayo imesumbuwa kwa muda mrefu hapa kuwa unlocked, hatimaye sasa nimefanikiwa, hapa nilipo nakula net ya foda na modem ilikuwa eateli tena mnajuwa ni firmware customized, Tatizo ni moja tu, haichakachuliki bure ni lazima kutoa bakshishi kidogo, anayetaka ani PM.
 
Vp wat about E153u-2 i've tried every unlocker but none have worked...
 
Habari zenyu wakuu,
Hatimaye huawei e173 ambayo imesumbuwa kwa muda mrefu hapa kuwa unlocked, hatimaye sasa nimefanikiwa, hapa nilipo nakula net ya foda na modem ilikuwa eateli tena mnajuwa ni firmware customized, Tatizo ni moja tu, haichakachuliki bure ni lazima kutoa bakshishi kidogo, anayetaka ani PM.

we jamaa huna nia ya kusaidia wenzio ila unataka upewe hela kwanza, nautoa uzi wako hapa
 
Habari zenyu wakuu,
Hatimaye huawei e173 ambayo imesumbuwa kwa muda mrefu hapa kuwa unlocked, hatimaye sasa nimefanikiwa, hapa nilipo nakula net ya foda na modem ilikuwa eateli tena mnajuwa ni firmware customized, Tatizo ni moja tu, haichakachuliki bure ni lazima kutoa bakshishi kidogo, anayetaka ani PM.

bakhshishi hyo ni kwa ajili ya malipo yako binafsi ama?(Hemu tufahamishe vzuri) i just wonder if kama watu wakitaka malipo humu jf!! tusingefika hapa tulipo sasa hv...
 
Kheee kwa Malipo tena???
Bora tuendelee kusubiri ufumbuzi utapatikana tu maana wenye moyo wapo ati....!!!!
 
Ndivyo ilivyo mkuu, bali kama kuna mtu atatuletea hapa ameweza bila yeye kulazimika kulipia basi itakuwa heri kwetu wote. Na labda niseme tu; watu wasiniPM tena waendelee kusubiri hapa itakapopatikana solution ya bure na mimi nitafurahi.

nadhani yuko right .hii kitu mpaka uwe na credits
 
Kuna ka software kanaitwa HUAWEI UNLOKER, niliwahi kuwatumia baadhi ya watu hapa. Kanafungua moderm karibu zote za Huawei.
Unaweza kugoogle au ukishindwa kukipata tuma anuani kwa PM ili nikutumie.
 
Kuna ka software kanaitwa HUAWEI UNLOKER, niliwahi kuwatumia baadhi ya watu hapa. Kanafungua moderm karibu zote za Huawei kasoro zile za kizamani.

pandisha hapa hapa mwanakwetu!!
 
pandisha hapa hapa mwanakwetu!!

Ninayo kama program. Sijawahi kujua jinsi ya kuweka software ama program hapa zaidi ya kuweka picha, video na links. Labda nipe maelekezo ili niipandishe. Angalia picha ya hako ka program hapa chini.

Huawei Unlocker.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom