Finally: BBC speaks the truth

if you are not an idiot as you denyit! one of your best solution... was???

So what make them Innocent are the images of those kids yousaw? They were captives of their parents my friend, the only people to be blameare their own parents (Jmalis)

 

Yes you can do anywhere ...in a corwadish style ...of elimination ...but if you dare confront a certain Line with a single fire of A missile ...your city will be upside down ....
 
Jamani Wakuu kwa yeyote ambaye hakupata nafasi ya kutazama video iliyoandaliwa na BBC ya Mauaji ya Halaiki yaliyo Fanyika Rwanda, Basi muda si mrefu nitapost link ya youtube ili uweze kutazama vizuri.

Nilifanikiwa kupost kwa YOUTUBE (kwa jina la Rwandas' Untold Story Documentary) lakini baada ya muda ikawa Banned na kudaiwa kuwa ni Copyrighted Content ya BBC.

Hivyo nitaipost tar10/12/14 kwa jina la kiswahili ambalo ni (Mauaji Ya Rwanda Ya Halaiki) ili washindwe ku-identify content. Hivyo utatakiwa kusearch kwa jina hilo au husubiri mpaka ni-post link yake hapa JF.
 
subiri waje...watakutoa macho....

Hata hivyo mbona hiyo video ipo online...
 
-JAMANI nyie kina KOBA na MCHAMBAWIMA 1 SAID , Kama MR KAGAME Ni hero angeshapewa tuzo tangu mda Sana TUZO, ila mpaka Sasa Kuna tuzo yoyote kubwa aliyepowa na taifa lolote Lile kubwa Kama marakani au international community, usilete ubishi vijana , ukweli utabaki tuu Ni ukweli.
-Denis mkwege , kapata tuzo ya Amani ya NOBEL , mtu aliyekuwa anawasaidi wakina mama wanobakwa kutokana na Vita vya uvamizi wa congo uliyofanywa na Rwanda na Uganda.
-Pia bila kumsahau Hotel rwanda hero, Paul rusesabagina .
-PK angelikuwa hero kutokana na Vita vya Rwanda 1994 angepewa tuzo.













 
Aise inatisha kuiangalia! Nashindwa KUELEWA ni nani atakayewafanya wanyarwanda wasahau mauaji hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…