Howard - kipa bora
Kaka - mchezaji bora
Fabiano - mfungaji bora
Lucio - Fair play
mchezaji mmoja wa US - nafasi ta tatu uchezaji bora
ninavyosikia majamaa ndio wanatoa dhahabu kwenye mashindano ya fifa makubwa sasa sijui kweli.Mnaona mabinti wa Imarati kwa background??? Au ni macho yangu tu??