Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 42,169
- 122,988
Mjomba kama kuna mtu anakushawishi uingie kwenye mchezo wa kubashiri (kubeti), aisee mkimbie haraka sana. Maana atakuingiza kwenye umasikini mkubwa.All d best
Mpira ukichezwa kwa haki
Hizi ndizo timu za final
Hope tumeyao itakuwa uwanjan kushuhudia maana fujo zitakuwepo za kutosheleza