Final 2013: Audi Cup

Kompany katulia sana kwenye defence leo,
hii match ni friendly sasa mbona coach wa Man Cty hataki kuwapa chance wachezaji wengine nao wapashe kidogo?
 
Kompany katulia sana kwenye defence leo,
hii match ni friendly sasa mbona coach wa Man Cty hataki kuwapa chance wachezaji wengine nao wapashe kidogo?

kompany na pantilimon ndio wanatoa uhai sasa hivi..
 
Full Time: bayern 2 - 1 city

the winner is bayern munich
 
Watoto wa pellegrin uwezo wao mdogo wajipange sana hata kama wamesajili wengi

walionekana kuwaogopa mwanzo ila kipindi chapili baada ya navas na yaya kuingia ndio waliobadili mchezo kama uliangalia vizuri..
 
aisee mayai sio mchezo kwanini pep asiongee kispain tu yaishe maana ni soo..
 
hili kombe la ajabu sana yaani hakuna aliepoteza wote ni vikombe tu..
 
hapa hakuna aliyekosa kombe ni vizuri sana

Basten S happy birthday dude..
 
ngoja nilale tu see you next tyme bye bye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…