Kama ulikua kichwani mwangu, kwa huu mchezo wake, akikutana na watu wa counter attack atachezea kipigo tu kama Dortmund walivyomlambisha sakafu juzi.
Tena match yao na Chelsea si ipo karibuni sana.

Ni kabla ya msimu au ndani ya msimu?
penati bay wanapata baada ya kushika mpira..
siunamuona fernandinho ndio anafanya iwe hivyo..