Ni box to box huyo, ila naona anapata shida kidogo kuzoea makazi mapya.
But worry not coz hii ndio strongest squad ya Bayern, nyie kwenye bench mna Yaya, Navas, Dzeko, Rodwell

hapo mandzuc hajaingia huyu ndio ananipa mawazo ila wao wameweka kikosi kamili halafu dizaini wameshaona wanatufunga muda wowote ndio maana wanazingua ngoja tuwatupie kidogo gemu itakuwa poa sana..