huyu alikuwa Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Power Breakfast asubuhi. with Masoud KP. kipindi kilikuwa safi sana hiki.
yupo wapi Fina Mango kwa sasa wadau??
I wapi na inashugulika na nini? CM ni vyema ungewaweka wadau wazi katika hili kwani mpaka wanamuulizia ujue wana haja naye kikweli hivyo kwa kuongeza taarifa twaweza kumtembelea ati.
huyu alikuwa Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Power Breakfast asubuhi. with Masoud KP. kipindi kilikuwa safi sana hiki.
yupo wapi Fina Mango kwa sasa wadau??
Toweni taarifa kuna watu wanamuulizia humu wanaweza kumpa deal hata kama amefulia. ni mtunwetu yule yuko very bright kwa wale mliokuwa mnasikiliza 'Power breakfast'. Hivyo tunampenda sana kama mtu aliyeleta mchango katika jamii kwa kipindi kile.
Niliwahi sikia kama unataka kumwalika kiongozi wa siasa kwenye shughuli yako lazima upitie kwake hata kama ni rais lazima upitie kwake ukate mpunga ndo awasiliane na wakulu huko juu.
Emanuel Makofia hivi unadhani kila mdada hapa mjini anategemea mapapaaaaa please give us a break. Hayo mambo siyo kila mdada anataka kupewa pesa na wanaume saa zote then kudharirishwa Lol hujatulia achana na fikra za kifisadi