Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Mkuu,
Bahati mbaya kwa sasa ntakuwa kidogo busy kidogo huku Sikonge.
Ila nikitulia basi ntakutafuta na zaidi kama nikiwa hapo Dar maana kwa sasa nipo mbali kidogo na Dar.
Nafanya kikosi fulani na naamini nikikikamilisha, basi ntakuja kukuunga mkono siku moja.... Tuzidi kuwasiliana.