filipino series

filipino series

WIMICKY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
1,439
Reaction score
1,575
Habari, msaada kwa anaefahamu jinsi ya kuweza kudownload free series za ki filipino
 
hehe zpo kwenye torent mkuu.... kwan ww unataka ipi..... maana hazpo zoteeeeeeee zpo baadhi/... mm mwenyewe kuna binti alinpa kaz nmtafie my eternal nmeikosa so hata kuonana nae staki.......
 
Daaah majanga mwenyewe nikafikiri nitapata kama nilivyopatiwa hii downloader ya kikorea
 
hehe zpo kwenye torent mkuu.... kwan ww unataka ipi..... maana hazpo zoteeeeeeee zpo baadhi/... mm mwenyewe kuna binti alinpa kaz nmtafie my eternal nmeikosa so hata kuonana nae staki.......
  • Je hapo kwenye red ulimaanisha hii 'My Sister Of Eternal Flower'
  • ​Kama ni ndio hii inapatikana
 
  • Je hapo kwenye red ulimaanisha hii 'My Sister Of Eternal Flower'
  • Kama ni ndio hii inapatikana

Jamaa hamaanish hyo MWALIMU,
jamaa kamaanisha kama alivyo andika {my eternal} ambayo wali rusha Star tv,ki philipino (walang hanggan)
 
  • Yap nimekupata vyema, Hii ina episode 203, Naivisha episode 1-40 ikiwa tayari nitawawekea direct link. Tatizo seeders hakuna kabisa.
p6tv.jpg
9ktu.jpg
 
hehe zpo kwenye torent mkuu.... kwan ww unataka ipi..... maana hazpo zoteeeeeeee zpo baadhi/... mm mwenyewe kuna binti alinpa kaz nmtafie my eternal nmeikosa so hata kuonana nae staki.......
  • Mkuu Episode 1-40 link imewiva tayari, Kama upo interested nitakuwaekea direct link kwa episode zote 203,
tvw4.jpg
 
weka hiyo link ya episode zote ili twende sawa badala ya kututamanisha kwa hizo picha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom