Filikunjombe VS Mtikila - mtendaji VS mwenye blabla

Uchaguzi kama usingekuwa wa haki tusingekuwa na wawakilishi toka vyama tofauti ndani ya jamii yetu, kasoro fulani fulani si kiegezo kwamba uchaguzi sio huru wakati sheria za uchaguzi zinaonyesha uhuru katika uchaguzi.

Asilimia kubwa ya majimbo waliposhinda wapinzani ni kutoka name ushupavu wao Wa kulinda kula Zao.. bado uchaguzi sio kigezo cha kuprove kuwa candidate flani hakubariki ktk jamii flani
 
Kwa nini CCM vigumu kushinda Uchaguzi Arusha kama hoja yako kwamba uchaguzi si huru Tanzania lakini inapoteza kura huko na kwenda upinzani?
 
Arusha wako active Sana kulinda kula, we ukuona faulo zilifanywa na CCM kwenye uchaguzi mdogo wa arumeru? Lakini wafusi wa chadema wakastukia? Haki haipo katika uchaguzi Tanzania kila Mtu anajua hilo mkuu
 
mtikila shushushu wa ccm yupo kwa ajil ya kuwahadaa wananchi ni mtu wa serikali ya chama chamapinduz,mzee tfda
 
Jaribu kuridia mada na kuisoma, kwamba Mchungaji Mtikila alijaribu kugombea ubunge wilayani kwake Ludewa alichoambulia ni kura yake na wasindikizaji wa familia yake. Dalili tosha anapanga hoja fulani kitaifa lakini ayuko karibu na wananchi ndicho ninachojadili tofauti na kijana Filikunjombe kukubalika na wananchi.

kwa TANZANIA KUSHINDA UBUNGE SIYO KIPIMO SAHIHI CHA HAYO UNAYOYATAKA mjomba , UNAWEZA HATA KUNUNUA KURA AU KUINUNUA TUME YA UCHAGUZI ! HIVI UNAWEZA KUNIAMBIA NI NANI ZAIDI KATI YA YUSUPH NA JANUARY MAKAMBA ?
 
Arusha wako active Sana kulinda kula, we ukuona faulo zilifanywa na CCM kwenye uchaguzi mdogo wa arumeru? Lakini wafusi wa chadema wakastukia? Haki haipo katika uchaguzi Tanzania kila Mtu anajua hilo mkuu

Hivyo unakuali kwamba uchaguzi ni huru na kwamba kinachotakiwa ni kulinda kura. Nimeshuhudia mataifa mengi hata makubwa ulindaji kura ni jambo la msingi na ili kunusuru hilo kusiwepo mwanya mara baada ya kumalizika uchaguzi huhesabiwa kura haraka na kutangaza matokeo. Hoja kwamba uchaguzi si huru si sawa ila mianya ya wizi ipo po pote kinachotakiwa ni umakini tu.
 
Sio huru kwasababu hata wanaotanza name wanaosimamia ushindi ni makada wa CCM.. kuanzia mkurugenzi, mkuu wa wilaya na mkuo
 
kwa TANZANIA KUSHINDA UBUNGE SIYO KIPIMO SAHIHI CHA HAYO UNAYOYATAKA mjomba , UNAWEZA HATA KUNUNUA KURA AU KUINUNUA TUME YA UCHAGUZI ! HIVI UNAWEZA KUNIAMBIA NI NANI ZAIDI KATI YA YUSUPH NA JANUARY MAKAMBA ?

Hilo unaloongelea nisingeweza kukuunga mkono kwa vile tofauti ya kura huwa si kubwa hivyo kama mtu ana ushawishi ndani ya jamii. Kuibuka na kura yako na familia yako wakiwa wachangiaji ndani ya sanduku la kura kuna kitu kisichokaa sawa. ---- mambo ya msingi kujenga utetezi lakini kwa hili Mtikila hakubaliki kwa wananchi walio wengi ila kwa wasomi.
 
Sio huru kwasababu hata wanaotanza name wanaosimamia ushindi ni makada wa CCM.. kuanzia mkurugenzi, mkuu wa wilaya na mkuo

Sikubaliani na hoja yako, kila chama kiko huru kuwa na wawakilishi katika kila kituo na kusimamia hadi kura zihesabiwe na kutia sahihi kwenye karatasi ya matokea ya uchaguzi. Sipendi maoni ya kufikirika, labda ungesema kuna uzembe upande wa wajumbe na mawakala ningekuelewa.
 
Mkuu Candid Scope,
Samahani naomba kujua, hivi huyu Deo Filikunjombe ndiye yule aliyekuwa anajulikana kama Deo Haule wa ITV?
Ndiye yule aliwahi kuwa WVT?

Jamaa mimi namkubali sana, ninasikitika Kamanda mpambanaji asiyeogopa yupo CCM.

Deo Filikunjombe mlango uko wazi CHADEMA sijui anafanya nini kule.........
 
Last edited by a moderator:

Kwa ufahamu wangu ni huyo huyo, alikuwa anasikika redioni akiwakilisha toka Uganda alipokuwa anasoma chuo kikuu cha Makerere. Jina lake kamili ni Deogratias Filikunjombe Haule. Kifupicho cha Derogratias ni Deo. Filikunjombe ni jina la familia yao. Ila sijajua kifupisho cha hiyo WVT! Kifupi uelewa wangu ndio huo na kinachonifanya nivutiwe na huyu mtu uwazi alio nao bila woga ndani ya Magambaz si kitu rahisi na wengi tunajua hilo.
 
Huyo jamaa ni Jembe, kama upo karibu naye mshawishi atoke huko umagambani mkuu......... WVT namaanisha World Vision
 
Wanaludewa ndio tunatambua uwezo na umahiri wa Deo Filikunjombe kama kiongozi hivyo wengine endeleeni na Mtikila tuacheni na Mbunge wetu Deo
 
Wewe umechoka kweli hadi unatia huruma! Ni hivi, usidhani kutambulika ni kupata nyadhifa za kuchaguliwa kisiasa. Kwa taarifa yako Rev. Mtikila anafahamika kitaifa na kimataifa miongoni mwa wasomi na magwiji wa sheria kwa kuchangia kukua kwa demokrasia. Halafu.....nani kakuambia wanaoshinda uchaguzi mara zote ni wazuri? Wapiga kura waliulizwa wanamchangua nani kati ya Yesu na jambazi wakamtosa mwana wa Mungu.

Mtikila yupo katika nafasi ya kufanya hayo anayofanya kwa vile hayuko ndani ya CCM. Filiria Mtikila angekuwa mwanaCCM angediriki kufanya mambo ambayo yanapingana na itikadi za CCM? Filikunjombe anathubutu kufanya hayo akiwa ndani ya CCM ni ushupavu usio wa kawaida. Jaribu kufikira hila kwanza.
 
Na wote marehemu sasa. Mwenyezi mungu alaze roho zo mahala pema mbinguni. Amen.
 
Back
Top Bottom