Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

mkuu hawawezi yule anabaraka za wazee wake na wazee wote wa kijiji kile. unadhani toka ameaza kuwachanachana wasingekuwa wamemfanyia kitu kibaya? by then ameamua kusema bila kuogopa kinachowezamkuta.
 
mkuu hawawezi yule anabaraka za wazee wake na wazee wote wa kijiji kile. unadhani toka ameaza kuwachanachana wasingekuwa wamemfanyia kitu kibaya? by then ameamua kusema bila kuogopa kinachowezamkuta.

au nayeye anafundishwa namna cha kuongea na TISS kama ilivyo kwa mwiguru nchemba na baadhi ya mawazili ili mladi kuwaada wananchi?
 
Wana Ludewa tumemtuma afanye kazi ya kuwatetea wananchi na ndio anayoifanya. Hajaenda Bungeni kuitetea CCM. Watamkubali tu. Na 2015 kwa kuwa wana Ludewa tunachagua mtu na si chama hata akijiunga na chama kingine chochote tutamchangua tu.
Ludewa Oyeee!!
 
Mbunge wa Ludewa naomba baada ya kuuweka ukweli wazi tumia mbinu za kiintelejensia ili kuhakikisha hawakumalizi kama walivyofanya kwa mbunge wa Ludewa Horace Kolimba. Watawala wetu na chama chao hawataki na wahapendi kuambiwa ukweli.
Kama vipi wakikuzingua hamia hata CHADEMA. Wewe bado ni hazina ya wana Ludewa na Taifa kwa ujumla. Walimuondoa Kolimba wakati bado anahitajika nachelea wasije wakafanya jaribio la kukuondoa pia wakati bado unahitajika.
Hongera kwa kazi nzuri.
 
...kila anaye ingia kina kirefu shurti ajue kuogelea,sina shaka na fili wa kunjombe,ni mjanja kwa kifupi...
 
Fuatilieni kwa makini,wengi walioneekana ni mwiba kwa serikali,walipewa vyeo ili kuwatuliza,historia ya mama sita CWT ilikuwaje,mwakyembe je? Tafakari!!!!!!!!!!1
 
Wana Ludewa tumemtuma afanye kazi ya kuwatetea wananchi na ndio anayoifanya. Hajaenda Bungeni kuitetea CCM. Watamkubali tu. Na 2015 kwa kuwa wana Ludewa tunachagua mtu na si chama hata akijiunga na chama kingine chochote tutamchangua tu.
Ludewa Oyeee!!

vipi kuhusu kulimba mbunge wa ludewa kama yeye walimfanyeje? Kwa ushauri awe makini,wana ccm wenzake kwani uwenda anafanya vile kwa mapenzi ya dhati kwa wananchi wake na kwa mapenzi ya dhati kwa chama chake ili kukishtua toka usingizi.Lakini akae akijua ccm kinatapatapa kukata roho,kwahiyo kinatafuta wa kufa nae.
 
Magamba hawataki ukweli,FILI huko uwanja kwa kuwa ni mdogo na faulo nyingi njoo huku kwa Makamanda.
 
Huyu akihamia CDM atafukuzwa haraka sana, ni lazima atawakosoa kina Slaa na Mbowe na kama tunavyojua hairuhusiwi kuwakosoa hawa manabii wa CDM.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba 2015 hawampi nafasi ya kugombea.watampiga fitina mbaka basi.vipi ludewa anakubalika?
 
Mbunge wa Ludewa naomba baada ya kuuweka ukweli wazi tumia mbinu za kiintelejensia ili kuhakikisha hawakumalizi kama walivyofanya kwa mbunge wa Ludewa Horace Kolimba. Watawala wetu na chama chao hawataki na wahapendi kuambiwa ukweli.
Kama vipi wakikuzingua hamia hata CHADEMA. Wewe bado ni hazina ya wana Ludewa na Taifa kwa ujumla. Walimuondoa Kolimba wakati bado anahitajika nachelea wasije wakafanya jaribio la kukuondoa pia wakati bado unahitajika.
Hongera kwa kazi nzuri.

ccm si chadema kolimba alifariki kwa maradhi yake kutokana na tabia zake
 
Fuatilieni kwa makini,wengi walioneekana ni mwiba kwa serikali,walipewa vyeo ili kuwatuliza,historia ya mama sita CWT ilikuwaje,mwakyembe je? Tafakari!!!!!!!!!!1

kama ndivyo ivyo basi tungoje tuone uenda na yeye wakampa uwaziri kwa madhumuni ya kumnyamazisha,ila kama na yeye anamalengo ayo.Wasiwasi wangu uwenda akawa anatumiwa kama ilivyo kwa mwigulu.Mfano wa mwigulu na waziri wake wa maliasili na utalii wanavyo pishana kauli ili mladi kuwaada wananchi wa loliondo,wasiwasi wangu kwa deo uwenda na yeye akawa kama ndugu yetu mwigulu! Kwani amekwenda mbali na kufikia atua ya kukisema kiti cha spika na kumsema waziri mkuu kwa kutomtaja direct pamoja na baadhi ya mawaziri na wabunge wa ccm.
 
maccm siwaamini sana,huyu filikunjombe kuna siku atawa-disappoint,mark my word
 
Mbunge wa Ludewa naomba baada ya kuuweka ukweli wazi tumia mbinu za kiintelejensia ili kuhakikisha hawakumalizi kama walivyofanya kwa mbunge wa Ludewa Horace Kolimba. Watawala wetu na chama chao hawataki na wahapendi kuambiwa ukweli.
Kama vipi wakikuzingua hamia hata CHADEMA. Wewe bado ni hazina ya wana Ludewa na Taifa kwa ujumla. Walimuondoa Kolimba wakati bado anahitajika nachelea wasije wakafanya jaribio la kukuondoa pia wakati bado unahitajika.
Hongera kwa kazi nzuri.

Acha uoga kijana. Tukiwa na mawazo kama hayo nchi hii aitakuja kombolewa kamwe.
Wewe leo upo kwa sababu kuna watu walikufa kupigania taifa hili.
 
Wasi wasi wangu ni kwamba 2015 hawampi nafasi ya kugombea.watampiga fitina mbaka basi.vipi ludewa anakubalika?

ludewa anakubalika.Ila uwenda jamaa anachezea karatambili za bahati nasibu upinzani endapo ccm wakiamu kutompitisha kugombea,pia karata yake nyingine anabaki nayo ccm ili akipitisha na chama chake aje kuongwa madaraka. Wasiwasi wangu 2015 uwenda CHADEMA ikachukua nchi na kufanikiwa kushika dola,vp kuhusu yeye ataendelea na fikra za kubaki ccm ili aje kuongwa uwaziri ama ataamia CHADEMA ili andelee kutetea ubunge wake?
 
Mhe Deo Filikunjombe ni mzalendo na Mbunge anayejua anachotakiwa kufanya Bungeni, Long live Comrade Deo you will be respected whenever you go!
 
huyu mbunge huwa namkubali sana. wabunge wengine huwa wananichosha anaanza kwa kuisifu serikali ni sikivu. alafu anatoa matatizo kibao mwisho anaunga mkono hoja yaani unafiki mtupu hasa lile libaba linene
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom