the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
niko chuo kilimo hapa Arusha,kuna tatizo kubwa hapa chuon la shortcuts cjaelewa n virus or what,ukichukua program toka computer moja kupeleka nyingine unaikuta iko shortcut ila ukiiclick inafungua page ya pili na program hapo unaweza iinstal au kama n movie unaweza ukaihamisha,tatizo limekua kubwa sasa si kuhamisha tu ni mpaka mafile ya computer nayo yanageuka kuwa shortcuts,liko hili tatizo kila pc hapa chuon kila mtu ana antivirus yake kuna wenye kerspersky,avast,avg na smadav ila zote zimechemka hata ku detect hili tatizo tunalohisi ni virus.najua jukwaan hapa ndio kila kitu naomba msaada wenu maana hali ni mbaya hata kuchukua programs hata za kusomea imekua shida sasa.natanguliza shukrani