Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,661
1. She Devil (Dakore Egbuson)
2. Rip Off (Ramsey na Genevive Nnaji
3. Power of Love (Ramseh na Genevieve)
2. Rip Off (Ramsey na Genevive Nnaji
3. Power of Love (Ramseh na Genevieve)
Kumbe unaifahamu mkuu nilijua ntakuwa naifahamu mimi tu.... It was the best movie kwa kwelKarishika ,daaah
Hii ni moja ya muvi za kichawi nilizokuwa nazikubali saaaana
Mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kabla ya bongo muvi, filamu za ki Nigeria ndizo zilikuwa zinapeta, nakumbuka baadhi ya filamu maarufu miaka hiyo kulikuwa na "suicide mission" (kichupa), "The price" (pastor ken), conspiracy, Witches, Lady bianca, Blood sisters, Christ in me. Anayezikumbuka nyingine, hebu tukumbushane nataka nizitafute.
NB: WATOTO WA JUZI MLIOZALIWA MIAKA YA 2000+ MSICHANGIE KWENYE HUU UZI HAUWAHUSU.
Aiseee yan umenikonga moyo yan ni gusa unaseeee . ..... Naikubal sana hiyo movieHighway to the grave
Rubi rubi rubi ooh rubi rubiiiThings fall apart.
The world apart.
True Confession.
Scores to settle.
Blood of an orphan.
Highway to the grave.
Rubi.
The power of love.
True love
Rubi rubi rubi ooh rubi rubiii
Jamn umenikumbusha mbaaaliii
Nakumbuka tulvyokua seminari kla jumapli walkua wanatuwekea filamu za kinigeria, watu wanakuja nazo tukfungua shule.
Sasa sku moja skumbuk jna la flam, watu wako bed wana kwchkwch ktu kka nasa hahaah wamaseminari tuliweweseka balaa.
Ndo ikawa mwsho wakuziangalia hzo flam.
Mkuu, hii sio SAMADORA hii....
Enheeeeee ndo yenyewe iyo...yani naikubali adi kesho hii muvi...dah!