Filamu Za Ngono Kenya.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Filamu Za Ngono Kenya....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Feb 5, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280  Kanda za ngono zinasowahusisha Wakenya zinazidi kusambaa madukani humu nchini jambo ambalo linaonyesha jinsi maovu ya kijamii yalivyokithiri nchini. Cha kusikitisha ni kuwa watoto wasichana wadogo wanashawishwa kupigwa picha wakiwa uchi ili kutosheleza maslahi ya wanaofanya biashara hiyo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Unajua mimi nawashangaa sana hawa watunga sheria haswaa nchi hizi za africa, kuna mambo mengi sana mazuri ambayo tayari yameshakuwa implemented nchi za wenzetu kwa ajili ya kulinda jamii zao!! lakini kwetu wanasubiri hadi mambo yatakapofikia "Point of no return" ndo waanze kutunga sheria. Au ndiyo ukilaza unawasumbua, kwa sababu kama ni mtunga sera/sheria unalo jukumu la kuhakikisha una-explore kila details na kuweza kufikia hatua nzuri. Sasa inshu ya dini zingine hata hazieleweki zinafundisha nini au ndiyo wezi, picha za ngono ni matokeo tu ya watu kuwa na hulka ya kufanya ngono bila kuwa na mipaka. Wakenya wanafanya ngono hata kwenye bustani za kupumzikia tena mchana kweupe, harafu wanajisifu wako smart, smart wakati mnajiaibisha kiasi hicho.
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tatizo tunapenda sana kusaidiwa au msaada, kwa dunia ya leo, my belief is that hakuna msaada wa bure, there should be something in return

  Shame is that is being used in the name of religion.........
   
 4. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Sodoma na gomoro imekaribia watu wanawaza ngono max katka juma zima ni siku 6/7.check hata jf mada za zenye mrengo wa ngono zinaushawsh mkubwa na wachangiaj ni weng
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kwani kuna tatizo gani katika Ngono wakuu? Zaidi ya asilimia tisini wa mtandao husearch mambo yahusuyo ngono walau mara maoja kwa mwezi! Tatizo ni kama hao wanaocheza picha za ngono wako chini ya umri wa utu uzima, au kama wanalazimishwa, otherwise ni sinema tu kama zilivyo sinema zingine; hata hao watunga sheria huwa wanaangalia picha za ngono, ije kuwa nyie washabiki wa JF? Haya mambo yapo miaka mingi kabla Yesu, kinachotakiwa ni kuweka utaratibu mzuri na kuhakikisha hizi picha haziangukii miongoni mwa juniors na kuwaharibu. Picha za ngono ni hitaji muhimu mno, mimi ninazo nyingi huwa naangalia na mke wangu, anayezihitaji anipm.
   
 6. bajun

  bajun Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  [Kheee!!!!!!!!!!!!!!! sibure kuna kitu kinakusumbua
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Funguka, unashangaa nini kama siyo unafki? Na kilichokuleta kwenye hii Thread ni nini kama siyo tittle...FILAMU ZA NGONO KENYA!
   
 8. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  filamu za ngono ni za kudhibitiwa,ingawa kuna ugumu kutokana na teknolojia ilivyokua..
   
Loading...