Natazama film ya Mwl Nyerere aliyoact Steve Nyerere naona kama bado hatujaitendea haki nafasi yake ktk jamii!
Ilitakiwa tupate film inayoonesha maisha ya Julius akiwa Butiama, leo wakati mama Maria yupo angetupa masimulizi mengi sahihi juu ya maisha ya Julius akiwa mtoto wa chief wanzagi, alivyoenda shule na maisha yake hapo Magomeni, kule Pugu na harakati za awali za Uhuru!
Karibu heroes wote watu wamewatengenezea filamu, huyu wa Kwetu tunamsifu na hii filamu yake haina mvuto wa kutosha kuleta hisia za maisha ya Mwl. Hizi ni hotuba ambazo nyingi clips zake tunazo!
Waziri nape tangaza fursa hii ambayo itaambatanishwa na mambo yetu ya Sanaa na makumbusho!