Filamu ya mwisho ya mzee majuto

Filamu ya mwisho ya mzee majuto

BONGOMOVIE

Member
Joined
Mar 27, 2018
Posts
56
Reaction score
2
MAPACHA WANAOFANANA
Kutana na mapacha Rukia na Rukaiya ambao tabia zao zinafanana, maumbo na sura kiasi kwamba mmoja kati yao anachumbiwa na kupata ugonjwa ghafla hivyo anakaa kwa muda mrefu kwa mganga muda mrefu kwa ajili ya matibabu, Tarehe ya harusi inafikia na baba mzazi anamuomba pacha mwenzake akubali kuolewa ili kumshikia mwenzake nafasi, Je jambo hili litafanikiwa na nini hatima yake zama ndani zaidi.

part 1:


part 2:
 
Back
Top Bottom