Filamu: Lone Survivor

Filamu: Lone Survivor

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,143
Reaction score
2,547
Hii ni story inayoelezea jinsi wanajeshi wa Marekani walivyoenyeshwa na WATALIBAN kwenye milima ya Afghanistan.
 
Nimeiangalia iko poa sana Manake Watalibani VITA ya Kwenye Miamba ndio zao
 
Hao makamanda walipambana balaa. !
 
Lt. Michael Murphy na wenzake...Marcus Luttrell bado yupo anaishi kwa hiyo event. Kwangu vijana wadogo kama wale kufa bila sababu inahuzunisha sana
 
Lt. Michael Murphy na wenzake...Marcus Luttrell bado yupo anaishi kwa hiyo event. Kwangu vijana wadogo kama wale kufa bila sababu inahuzunisha sana
Pia kukatika mawasiliano na Makao Makuu nako kulichangia pakubwa maana walikosa support ya angani.
 
Mitaa ile wenyewe wameizoea wanapiga Risasi nyingi kwa timing kisha wanajificha kwenye mawe duh....ila JESHI ni kazi ya Wanaume wacha kabisa
Jamaa wanaruka kwenye mawe kama ngedere.
 
Mitaa ile wenyewe wameizoea wanapiga Risasi nyingi kwa timing kisha wanajificha kwenye mawe duh....ila JESHI ni kazi ya Wanaume wacha kabisa
Hahahaaah ile kama huna roho ngumu kule huendi.
 
Best Best Everrr....movie moja ya kibabe sana!
 
Pia kukatika mawasiliano na Makao Makuu nako kulichangia pakubwa maana walikosa support ya angani.
Yaap....binafsi nilihuzunika sana jamaa anaiona ndege lkn hana mawasiliano nao wanapita juu yake daah...
 
Jamaa wanaruka kwenye mawe kama ngedere.
Acha kabisa ni hatari sana kuingia kwenye Game bila kujua Uwanja ukoje maana jamaa pamoja nakuwa na Silaha zakisasa Taliban I wako na AK47 lkn waliwatuliza
 
Hahahaaah ile kama huna roho ngumu kule huendi.
Nandio maana huwa hawapendi mambo ya kwenye Uwanja wa mapambano watu waone maana ukimkumbuka Mkeo na watt wako then unakutana na Jinamizi la Mawe halafu watu unaopambana nao wao wanachotamani KUFA kuliko kuishi aaaah....acha kabisa
 
Acha kabisa ni hatari sana kuingia kwenye Game bila kujua Uwanja ukoje maana jamaa pamoja nakuwa na Silaha zakisasa Taliban I wako na AK47 lkn waliwatuliza
Yule mmoja aliyepona, hakuamini kama kweli anaokolewa alipokuwa bwawani anakunywa maji.
 
Kuna kitabu chake with more details than the movie....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom