Fikra pevu tu ingia hapa

Fikra pevu tu ingia hapa

Itategemea na kiasi cha maji yanayoingia na kutoka. Kama maji yanayoingia ni mengi kuliko yanayotoka basi itaanza kujaa namba Moja. Lakini kama maji yanayoingia ni sawa na yanayotoka basi litaanza kujaa namba nne!

Yote hayo itagemea endapo hizo container zimefungwa. Kama hazijafungwa basi namba nne ikijaa maji yataanza kumwagika na mengine yote hayatajaa.
Umegusia point muhimu ya kiasi kiingiacho na kitokacho....Ki fupi umetaka kuliweka kisomi zaid yaani complicated.... Ila ingebid utumie kanuni ya wanauchumi other things remain constant
 
Kama jibu linatakiwa kutokana na muonekano wa water pressure iliyopo msingi wa hoja yako ya input and outlet pressure ni assuming na sio fact. Bado no3 itajaa sawa na no4...na no1 na 2 hayata jaa kamwe ...maji yatamwagika kutoka No 4
Itategemea na kiasi cha maji yanayoingia na kutoka. Kama maji yanayoingia ni mengi kuliko yanayotoka basi itaanza kujaa namba Moja. Lakini kama maji yanayoingia ni sawa na yanayotoka basi litaanza kujaa namba nne!

Yote hayo itagemea endapo hizo container zimefungwa. Kama hazijafungwa basi namba nne ikijaa maji yataanza kumwagika na mengine yote hayatajaa.
 
Ukiangalia possitions za hizo containner, 1 na 2 ziko juu hazitajaa. 3 & 4 ziko chini , connecting pipe inayotoa maji 3 iko chini na inayoingiza 4 iko juu maana yake maji kupita kwenye pipe toka 3 to 4 yatategemea mkandamizo katika 3 ambao ni ujazo. Therefore of all 4 containners itajaa mwanzo nmbr 3
 
Back
Top Bottom