papag JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,171 Reaction score 1,733 Aug 27, 2025 #1 Unasemaje? Attachments FB_IMG_1756276558076.jpg 126 KB · Views: 22
Joe1016 JF-Expert Member Joined May 25, 2025 Posts 481 Reaction score 817 Aug 27, 2025 #2 Ni Kwa sababu tu watanzania hua hatuna tamaduni za kuvipa thamani vya kwetu ila huyu jamaa ana matumizi makubwa sana ya akili Hapo kwanzia hiyo rangi ya maji Ina ujumbe wake na pia kukatika hilo daraja kuna ujumbe wake pia
Ni Kwa sababu tu watanzania hua hatuna tamaduni za kuvipa thamani vya kwetu ila huyu jamaa ana matumizi makubwa sana ya akili Hapo kwanzia hiyo rangi ya maji Ina ujumbe wake na pia kukatika hilo daraja kuna ujumbe wake pia
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Aug 27, 2025 #3 papag said: Unasemaje? Click to expand... Bado hajatekwa😝😝😝
papag JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,171 Reaction score 1,733 Aug 27, 2025 Thread starter #4 Mulhat Mpunga said: Bado hajatekwa😝😝😝 Click to expand... Mbadoo
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Aug 27, 2025 #5 papag said: Mbadoo Click to expand... ✌️✌️✌️✌️
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Aug 27, 2025 #6 Hebu nifunzeni jinsi ya kuwa na VPN nowadays Kuna wakt mtandao inakuwa arijono sijui wanazima ama nn
mzee kokona Member Joined Sep 10, 2024 Posts 48 Reaction score 45 Aug 27, 2025 #7 KP kaliwa kichwa na bosi ya Ithibati
TigerHead JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 24,829 Reaction score 26,953 Aug 27, 2025 #8 papag said: Unasemaje? Click to expand... Masoud hayo maji ya kijani hakuishi mamba huko?
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Aug 27, 2025 #9 mzee kokona said: KP kaliwa kichwa na bosi ya Ithibati Click to expand... Ithibati ni one thing halafu Mungu alichoweka ndani ya KP hakuna cha ithibati Wala ithikigae itakayokiondoa
mzee kokona said: KP kaliwa kichwa na bosi ya Ithibati Click to expand... Ithibati ni one thing halafu Mungu alichoweka ndani ya KP hakuna cha ithibati Wala ithikigae itakayokiondoa
Mawembasa1979 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 2,615 Reaction score 3,484 Aug 29, 2025 #10 Mulhat Mpunga said: Ithibati ni one thing halafu Mungu alichoweka ndani ya KP hakuna cha ithibati Wala ithikigae itakayokiondoa Click to expand... KP namkubali sana aisee. Yaani huwa naona anamfuatilia kwa karibu sana Robert Mwampembwa aliyehamia Kenya.
Mulhat Mpunga said: Ithibati ni one thing halafu Mungu alichoweka ndani ya KP hakuna cha ithibati Wala ithikigae itakayokiondoa Click to expand... KP namkubali sana aisee. Yaani huwa naona anamfuatilia kwa karibu sana Robert Mwampembwa aliyehamia Kenya.
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Aug 29, 2025 #11 Mawembasa1979 said: KP namkubali sana aisee. Yaani huwa naona anamfuatilia kwa karibu sana Robert Mwampembwa aliyehamia Kenya. Click to expand... Namfahamu personal... Yuko vizuri mtu poa sana ana akili kubwa
Mawembasa1979 said: KP namkubali sana aisee. Yaani huwa naona anamfuatilia kwa karibu sana Robert Mwampembwa aliyehamia Kenya. Click to expand... Namfahamu personal... Yuko vizuri mtu poa sana ana akili kubwa