Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,881
Hebu piga mahesabu wewe ndio Rais wa nchi yoyote ile halafu itokee nchi nyingine jirani inataka kuchukua maeneno yako kwa lazima I mean Vita.
Yaani assume hapa Tanzania nchi majirani mojawapo ijitokeze na kutangaza kuitaka Dodoma au Shinyanga kwa Nguvu je kama wewe ni Rais utawaambia kwa upole chukueni tu kwanza Tanzania ni kubwa tuna maeneo mengi ya kutosha.
Nimeanza kwa mfano hapo juu nikitaka kuelezea kinachoendelea #Ukraine, Ukraine ana haki ya kulinda mipaka ya nchi yake na maeneo kwa njia yoyote ile, its Bizzare Russia anaamka kwa ubabe wake na kutaka kujigawia nchi ya watu kama yake.
Kwa mpenda Amani, haki na demokrasia lazima atakemea uvamizi batili wa Mrusi kwa nchi ya Ukraine.
Alianza #Crimea Mkraine akaona isiwe tabu kuepuka machafuko akamwachia kumbe jamaa akazidi kunogewa na kutaka maeneo zaidi mwisho wa siku atataka Ukraine yote kama ilivyo kwa Belarus #Lukashenko yupo pale kama kivuli tu yeye mwenyewe anakiri Rais wetu ni Putin.
Ni wakati sasa Dunia kusimama pamoja na kupinga uonevu kutoka kwa nchi zinazojiita wababe wa Dunia.