Fikiri kabla ya kutenda

Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
929
991
uploadfromtaptalk1461827112935.jpg
 
Halafu kaeka pozi duuh..Sa mleta uzi ina maana hakuiangalia picha kabla hajatma

Ni rahisi sana mkuu. Unahoji hivyo kwa mazingira haya lakini ungekuwa ni mhusika hata huo muda wa kupembua unaweza usiwe nao kabisa.
 
Hahahahahaha kaharibu pakubwa lol!!!?cjui unaanzajeAnzaje kujitetea mmmmh patachimbika bila jembe!!!
 
yereeuwi.. hapo katuma fasta ili aishushe bikini.. simu akaitia silent akaiweka kwenye suruali akivua akaitundika.. alivyomaliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom