Fika bila kukosa

Fika bila kukosa

Mr D47

Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
12
Reaction score
0
Familiya ya Sir ALEXFARGASON
iliyopo UK inayofurahakubwa ya
kukualika bw/bi mr/mrs
mh,Dr.................
katika harusi yamtoto
wao mpendwa
aitwaeMANCHESTER UNTD
atakapo fungandoa na bint
CHELSEA mtoto watajiri maarufu
ABROMOVICH katikaukumbi wa
OLD TRAFORD siku ya Jumapil
saa 12:00 jion
fika bila kukosa!
 
"... fika bila kukosa."

Ukifika kuwezi kukosa!! Kuna kasoro kubwa tu ya kimantiki katika kusema hivyo....

Bora kusema: usikose.
 
ha ha haaa, safi sana, chelsea lazima aolewe kesho, pale old traford. Nafikiri nitafika bila kukosa.
 
ntafika na kukosa, but you gotta regret this post man
 
ni hapo bibi harusi mtarajiwa atakapogeuka bwana harusi.tunawangoja man u kwa hamu!
 
"... fika bila kukosa."

Ukifika kuwezi kukosa!! Kuna kasoro kubwa tu ya kimantiki katika kusema hivyo....

Bora kusema: usikose.

Kiswahili sanifu kimekukaa, hongera sana maaa watu wengi hufanya hayo makosa
 
uwepo na binti atajulikana kesho baada ya wiki ilopita arsenal kuweka pingamizi ndoa isifungwe.

Mkuu ndio natoka kwenye ndoa, harusi imekwisha salama tumechukuwa mke wetu, si unajua tena njengere za kumenya CHACHARITO..vile nakupa pole ya sister najua ushindi wa leo umekufariji
 
"... fika bila kukosa."

Ukifika kuwezi kukosa!! Kuna kasoro kubwa tu ya kimantiki katika kusema hivyo....

Bora kusema: usikose.
Hiyo sentensi ipo sawa kimantiki... Ikiwa na maana kuwa Muhudhuriaji afiki kwa muda mwafaka...! Yaani ufike bila kuchelewa, kwani unaweza kufika kwenye sherehe muda ambao sherehe imeshaisha... Utakuwa umefika lakini umeikosa harusi.

We unaonaje?
 
Code:

nna hamu man wapigwe leo afu wapigwe na barcelona patapendeza!!!!!!!!!!!!!!
haya naona hamu yako imeisha bibi harusi alipendeza sana muziki wa bendi ya Chicharito na Vidic ulikuwa mzuri, sasa wameenda fugate hadi 28 mwali ndio anatolewa rasi pale Wimbley
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom