Figo ya Mbwa

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,408
6,555
kuna jamaa alikuwa anaumwa na figo akaenda hospitali. Alipofika akakutana na dokta akamueleza ugonjwa wake!
Sasa Dokta akaamua kumbadilisha figo.
Sababu alikosa figo ya binadamu, dokta akaamua kumwekea figo ya Mnyama mgonjwa wake, alijaribu figo ya Mbuzi ikaonekana ni ndogo sana ikashindwa kufanya kazi, Dokta ikabidi abadilishe amuwekee figo ya Ng'ombe ila ikashindwa kufanya kazi sababu ilikuwa kubwa mno, ndipo mwishoni dokta akaamua kumuwekea Mgonjwa wake figo ya Mbwa. Figo hiyo inafanya kazi fresh ila tatizo ni kuwa jamaa(mgonjwa) akitaka kukojoa ni lazma anyanyue mguu mmoja juu kama mbwa anavyokojoa!
 
Sipati picha ukimtazama kutokea nyuma wakati anashushu.
What a view?
 
Hakuna ukweli wowote hapa sema tu this is a joke na hata kama ni joke it's a pathetic one! Science does not approve that and it has never happened mtu kuwekwa figo la mnyama kisha una act like huyo mnyama. Kama imetokea basi huyo mtu alikuwa ana act tu kufurahisha watu.
 
Dah?
Uko serious sana mkuu, sipati picha vyenye utajisikia siku ambayo bintiyo mdogo atagundua kuwa kumbe na wewe huwa unaenda haja kubwa.
Maanake...
 
Siunajua mbwa akipiga long safari halafu akiwa unakwenda ugenini huwa anatembea na kukojoa vimikojo kwenye shina la mti au hata kama kunakiukuta au hata kijichaka kama ishara na alama pindi arudipo ili asipotee?
 
Back
Top Bottom