Figo inahitajika

Figo inahitajika

Aise kwa hali ilivyongumu,wachaniuze figo moja
Kwanza unazo mbili ila hakikisha ukishapewa fungu lako usifanye yale mambo yetu yale yakwichikwichi maana figo moja kuchuja makinikia ni ngumu so itahitaji ufunge spidi gavana mkuu!
 
Kwa jinsi vyuma vimekaza mzee wetu sahivi atakua anachagua achukue figo ipi aache ipi
 
Kumbe ni mzee.. Afe tu ***** wapiganie mali...
 
Afu mimi nikupe/nikuuzie figo langu then mimi nitachujia taka nini? Sikatai sawa mnaomba kwaiyo nyie wote mnafigo moja moja.
 
Kwanza unazo mbili ila hakikisha ukishapewa fungu lako usifanye yale mambo yetu yale yakwichikwichi maana figo moja kuchuja makinikia ni ngumu so itahitaji ufunge spidi gavana mkuu!
Niache kwichikwichi ,iwiiiiiiiiiii si bora ufe,basi nimeghair
 
Kumbe kunauwezekano wa mtu kupotea kusikojulikana kumbe ametekwa na kunyofolewa viungo?
 
watatoa asante au wananunua kwa 10m ongezeni hela hata ifike. 40m kujilipua uko mtu ajenge hata kibanda
na nyie ndugu wote mna matatizo au mnaogopa kufa
 
Aaahhhh eti itachangia million 10 .

Achen kushawish watu waanza kufanya Yale yanayoendelea kufanywa Misri ,, Iraq ,,hapa kwa majiran zetu
 
45,000,000/= mimi naweza kumpatia hiyo moja hata ikinisukuma mwaka sio mbaya family yangu itakuwa imebaki pazuri kidogo.
 
Nipo tayari kutoa, waniandalie milioni 200 tu fixed, sina mazungumzo ya kubargain
 
Hii nimeikuta sehemu na kujiuliza maswali mengi.Nanyi wadau wa JF someni na kutoa maoni yenu.

Familia ya A.Rimoy inaomba msaada wa kuchangiwa Figo 1 (kike/kiume) kwa ajili ya Mzee wao kwa yeyote atakaeguswa awasiliane nasi kwa namba:0754-657622; 0682-068821; 0713-233989;Aidha familia itatoa Tshs milion 10.kama ahsante...Ombi sambaza ujumbe huu kwenye magroup mengine...
dah nipo tayari kutoa kwa laki (100,000) tatizo nakunywa pombe kali sana itakua imedhurika kidogo kama upo tayari ni pm mzee tufanye business..
 
Hii nimeikuta sehemu na kujiuliza maswali mengi.Nanyi wadau wa JF someni na kutoa maoni yenu.

Familia ya A.Rimoy inaomba msaada wa kuchangiwa Figo 1 (kike/kiume) kwa ajili ya Mzee wao kwa yeyote atakaeguswa awasiliane nasi kwa namba:0754-657622; 0682-068821; 0713-233989;Aidha familia itatoa Tshs milion 10.kama ahsante...Ombi sambaza ujumbe huu kwenye magroup mengine...
Maae, kwani ndg zake hawajaguswa wamchangie iyo figo
 
Back
Top Bottom