chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
mzee wa miaka 60 anaomba figo kwa kijana wa miaka 20-35. kweli binadamu sisi niwabinafsi.
Kumlipa mtu ili akupe kiungo cha mwili ni kosa kisheria.
Hushangai P Square mama yao alikufa lakini kiungo wangeweza kununua?
Hilo tangazo ni feki usijichomeke.
Ni kosa kitaifa na kimataifa. India imo miongoni mwa nchi ambazo uvunaji viungo umekithiri.Usibabaike na kiswahili, huenda wapo India.
Changamkieni Fursa
Ova
Usiogope mkuu Mi mtu mwema sana!Avatar yako huwa inanitisha daily.
Na phillipines kama sikoseiNi kosa kitaifa na kimataifa. India imo miongoni mwa nchi ambazo uvunaji viungo umekithiri.
Navyoogopa kufanyiwa upasuaji hapana japo nahitaji pesa lakin sio kwa njia hii
Unaweza fanyiwa usirudi na madaktari wetu hawa



Mkuu hawajasema wananunua wao wanaomba msaada 10m ni shukranKumlipa mtu ili akupe kiungo cha mwili ni kosa kisheria.
Hushangai P Square mama yao alikufa lakini kiungo wangeweza kununua?
Hilo tangazo ni feki usijichomeke.
We utabaki na niniMilion 10 si bora niendage BIKO huko, Kama Kuna mil 100 nitawapa Figo mbili zote nyingine wataitunza kama spear.
HahahahahaAfu mimi nikupe/nikuuzie figo langu then mimi nitachujia taka nini? Sikatai sawa mnaomba kwaiyo nyie wote mnafigo moja moja.![]()
Natamani ndugu wangekuwepo wakajibu hiliwatatoa asante au wananunua kwa 10m ongezeni hela hata ifike. 40m kujilipua uko mtu ajenge hata kibanda
na nyie ndugu wote mna matatizo au mnaogopa kufa
Ubinafsmzee wa miaka 60 anaomba figo kwa kijana wa miaka 20-35. kweli binadamu sisi niwabinafsi.
50 ni pm mkuuHii nimeikuta sehemu na kujiuliza maswali mengi.Nanyi wadau wa JF someni na kutoa maoni yenu.
Familia ya A.Rimoy inaomba msaada wa kuchangiwa figo 1 (kike/kiume) kwa ajili ya mzee wao kwa yeyote atakaeguswa awasiliane nasi kwa namba :0754-657622; 0682-068821; 0713-233989; Aidha familia itatoa Tshs milion 10.kama ahsante ombi sambaza ujumbe huu kwenye magroup mengine.
Ukitoka kwenye upasuaji inabidi utafute usafiri wa daladala ili 100,000 isiishe uendapodah nipo tayari kutoa kwa laki (100,000) tatizo nakunywa pombe kali sana itakua imedhurika kidogo kama upo tayari ni pm mzee tufanye business..
Dau likongezeka na kufikia mil.150 ?bado unaogopa??Navyoogopa kufanyiwa upasuaji hapana japo nahitaji pesa lakin sio kwa njia hii
Unaweza fanyiwa usirudi na madaktari wetu hawa
Ehheeheh hapanaaDau likongezeka na kufikia mil.150 ?bado unaogopa??