algorithim
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 878
- 909
mkuu una figo ya dhahabu...Mbona dau dogo, waongeze basi! kama Bil 199 hivi.....
mkuu una figo ya dhahabu...Mbona dau dogo, waongeze basi! kama Bil 199 hivi.....
Swali zuri mkuu ukoo mzima mmeshindwa kumchangia ajitolee mmoja afu hizo pesa gawaneni zibaki kwenuKati yenu ndugu hakuna anayeweza kujitolea figo kwa ajili ya mzee?
Madaktari wetu ni vimeo,mie walinifanyia upasuaji wakasau Smartphone tumboni mwangu!!Navyoogopa kufanyiwa upasuaji hapana japo nahitaji pesa lakin sio kwa njia hii
Unaweza fanyiwa usirudi na madaktari wetu hawa
Ilikuwa inaita humo tumboni ama ilizima charge?Madaktari wetu ni vimeo,mie walinifanyia upasuaji wakasau Smartphone tumboni mwangu!!
Ilikua inasema "JAZA UJAZWE" hapo ndio nikajua kumbe "Twitter" ilisaulika tumboni bhana!Ilikuwa inaita humo tumboni ama ilizima charge?
Ilikua inasema "JAZE UJAZWE" hapo ndio nikajua kumbe "Twitter" ilisaulika tumboni bhana!
