Jamani kwani cc watanganyika ndio tuliowapima mkojo? Waulizeni CECAFANyie watanganyika acheni unaaa mjue zenji tuko vizuri badala ya kutusifia kama sehemu ya jamhuri ya tz Na nyie mnaleta unafiki, mpira maandalizi sio porojo kwani hamuoni saivi wazanzibar walivyoiteka ligi yenu ya VPL Na mnabahati FIFA hawajatupa membership tungewApigeni kilasiku
MuelewesheJamani kwani cc watanganyika ndio tuliowapima mkojo? Waulizeni CECAFA
Ingekuwa vzr ungenielewesha.Mueleweshe
Wachezaji wengi hao wanacheza bara na wanang'aa ,nyie mnapeleka tujitu miili midogo kama sungura,what do you expect?Yawezekana kweli iweje wala urojo wawe na pace kiasi kile?
KUla urojo tu? Muulize mzee wako wewe mwenyewe chanzo chako ni urojo na umekua kama ulivyo.Yawezekana kweli iweje wala urojo wawe na pace kiasi kile?