BENEDICT BONIFACE
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 235
- 396
Nyinyi kuleni chips mayai na kushinda maisha basement hayo sio maisha ya mpiraYawezekana kweli iweje wala urojo wawe na pace kiasi kile?
kuku matahira we sheikh sio mtu mzuriZanzibar hoyeee wao si wamezoea kula kuku matahira na Chips sie zetu urojo boflo
Laanatullah ..... yaaani ndivyo mlivyoaminishwa hivyo na wale wanaokudanganyeni.Yawezekana kweli iweje wala urojo wawe na pace kiasi kile?
Daktari wa timu aweka wazi kila kitu...
Acha uzanzibara wewe sisi ni damu moja, mi nataka nikuoe kwanza heshimu kwetu,wanataka kuiminya Zanzibar kila kona, huku jinamizi la Tanganyika na kule Cecafa wameanza choyo
Lilopo lazima liongelewe kwa sasa adui mkubwa wa zanzibar kimaendeleo ni Tanganyika ktk nyanja tofauti michezo mnaweka mguu mafuta mumeweka mguu mambo ya nje ndio kabsaAcha uzanzibara wewe sisi ni damu moja, mi nataka nikuoe kwanza heshimu kwetu,
Adui yako ni wewe mwenyeweLilopo lazima liongelewe kwa sasa adui mkubwa wa zanzibar kimaendeleo ni Tanganyika ktk nyanja tofauti michezo mnaweka mguu mafuta mumeweka mguu mambo ya nje ndio kabsa
Kama wanzanzibar nilazima tuyaongelee na hautozima et kwa kusema ni damu moja hoja ya kua dam moja haizuii kudai tunacho kihitaj
Kwa hiyo zanziberi wanatumia UBOULOBreaking news
Baada ya hapo jana cecafa kuitilia mashaka Zanzibar heroes kama wana tumia madawa ya kuongeza nguvu na kuwafanyia vipimo na waka gundua ni kweli wanatumia
Cecafa wamesema zanziba hero wana tumia dawa aina tatu nazo ni---
UROJO WA FORODHAN
BOFLO NA
UBUYU WA KIPONDA.....ONE LOVE ZANZIBAR HEROES
Nitajie watatu tu wanaoiteka ligi ya vpl!Nyie watanganyika acheni unaaa mjue zenji tuko vizuri badala ya kutusifia kama sehemu ya jamhuri ya tz Na nyie mnaleta unafiki, mpira maandalizi sio porojo kwani hamuoni saivi wazanzibar walivyoiteka ligi yenu ya VPL Na mnabahati FIFA hawajatupa membership tungewApigeni kilasiku
Mudathir yahya, canavaro , agrey Morris, and a bonus haji mwinyiNitajie watatu tu wanaoiteka ligi ya vpl!