DLS NI KIBOKOMkuu subiria Dls 19
Hivi ule uzi wetu wa dls si upo sijaona wadau wakichangia hivi karibuniMkuu subiria Dls 19
Mimi ndiyo limegoma kabisa.... Watu baada ya kuweka link hapaMimi nisha install kila kitu,Ila kuplay linagoma,display i abaki nyeusi tu.
Shida nini,memory au?