Fifa yabaini hili

Fifa yabaini hili

Kama Hujui hata Russia na Bosnia & Herzegovina unafanya nini hapa. Unawambia watu wa google wakati wewe huja google
 
View attachment 167770 ikiwa ni round ya mtowano ikizidi kutimua vumbi katika fainali za 20 za kombe la dunia uko brazil shirikisho la mchezo uwo fifa limeonyesha mashaka kuhusu matumizi ya fedha zake ambazo huzitoa kwa mashirikisho ya kandanda katika mabara husika, hii imekuja bahada baadhi ya mabara mataifa yake kutoweza kuvuka hata awamu ya mtowano katika michuano hiyo, mfano asia timu zote tano ziliweza kuondolewa katika hatua ya awali ya michuano iyo , timu izo ni japan,iran, korea, bosnia h",na russia. Pia barani ulaya katika timu 12 ni timu 6 tu ndio zimefuzu hatua ya pili, barani afrika katika timu 5 ni timu 2 tu ndio zilizofuzu ; hii ni tafauti na america ya kati na kusini ambapo kwa Ni timu mbili tu yaani hondurous kwa amerika ya kati ,na equador kwa amerika ya kusini, hii imeleta maana ya kwamba mchezo wa soka una amasa zaidi america ya kusini,kwani katika timu 5 ni moja tu ilioshidwa kufuzu kwa awamu ya pili,

Kwenye red, Russia iko Ulaya na si Asia
 
Ulaya (UEFA) waliingiza timu 13 zikiwemo Bosnia na Urussi sita tu zimesalia Holland,Germany,Uswiss,France,Belgium na Greece;Africa zimebakia mbili Algeria na Nigeria,Asia zote zimeondolewa Iran,SKorea,Japan na Australia,America Kusini Costa rica ,Marekani na Mexico bado wapo,zilizobaki ni za marekani kusini.
Mjadala unaendelea kwa WC zijazo kuona kama Europe wanaweza kupunguziwa nafasi zikaongezwa Afrika na Asia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom