Fifa wametoa ivory coast wametwaa

Fifa wametoa ivory coast wametwaa

Puffader

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
Tanzania tulikupenda ivory coast wamekupenda zaidi,jina la yaya toure lienziwe! Wote tuseme..........
 
Watu wengine bana ka wako kwenye kijiwe cha cha arusha!
 
Kijiti cha arusha kinakuzingua wewe hata hujui unaandika nini. Shule za kata hizi zina mambo!

mangi pekee ndio wanaelewa hilo neno! Alaf si kila post need your point of view unless you are updating your CV with it which would be also dhahabu kwenye pua ya nguruwe
 
Join Date: 8th May 2013
Last Activity:Today 16:38

Kuna wakati tukitakiwa kuchangia post tuangalie na ni lini mtu amejiunga humu! Its not your mistake brother/sister! Karibu Jamii Forum. I wish you could learn more while here otherwise better learn how to respect others!
 
Old man wit a tour guiding photo he took yrs ago versus young warrior wit a medallion
 
Back
Top Bottom