Fifa na Pes lipi game zuri?

Fifa na Pes lipi game zuri?

Harrykany

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2019
Posts
645
Reaction score
704
Wazoefu wa game za football kati ya FIFA 2021 Na PES 2021 ipi game nzuri kucheza kwenye PC ya kawaida, Na vipi utofaut wa game izo uzuri Na ubaya, wa izo games?

Nawasilisha
 
PC ya kawaida tafuta pes 17 weka patch. Enjoy.. fifa inahtaj system ya kueleweka
 
Binafsi kwa sasa nacheza FIFA na PES kwenye PS 4, sio PC. Ila nnachojua kila moja lina taste yake ya tofauti kabisa. PES wengi wanaona kuna uongo mwingi, na halihitaji 'skills' sana. Ukijua kupiga pasi ndefu, pasi mpenyezo, mitungi + headers, mashuti ya kawaida na mashuti mzunguusho you are good to go kwenye PES. Ila kwenye FIFA skills nyingi zinahitajika, na akili nyingi. Ndio maana unakuta wapo wanaojua PES ila kwenye FIFA hawana shughuli. Na ndio sababu ma pro wengi wa games utakuta wanacheza FIFA sio PES
 
Wazoefu wa game za football kati ya FIFA 2021 Na PES 2021 ipi game nzuri kucheza kwenye PC ya kawaida, Na vipi utofaut wa game izo uzuri Na ubaya, wa izo games?

Nawasilisha
Fifa21 & Pes21 huwezi cheza kwenye PC za kawaida
 
Binafsi kwa sasa nacheza FIFA na PES kwenye PS 4, sio PC. Ila nnachojua kila moja lina taste yake ya tofauti kabisa. PES wengi wanaona kuna uongo mwingi, na halihitaji 'skills' sana. Ukijua kupiga pasi ndefu, pasi mpenyezo, mitungi + headers, mashuti ya kawaida na mashuti mzunguusho you are good to go kwenye PES. Ila kwenye FIFA skills nyingi zinahitajika, na akili nyingi. Ndio maana unakuta wapo wanaojua PES ila kwenye FIFA hawana shughuli. Na ndio sababu ma pro wengi wa games utakuta wanacheza FIFA sio PES
Hiyo ps 4 ulinunua sh ngapi mkuu ma ipo chipped?
 
mahitaji ya Pes yapo chini kidogo lwemye upande wa graphic ram yake gpu and the likes ila kwemye FIFA aiseh kila kitu kipo juu sana kuanzia ram inayohotajika,gpu na mengine....ndio maana wenye pc weng wanatumia FIFA14 wameweka mods wanapiga vizuri kiasi japo shida ya mabeki kukatika ukipiga chop haiepukiki kwenye fifa14
 
PC ya kawaida haiwezi kucheza hizo game,labda kwenye playstation na huko fifa ni la mapro....pes ni la kila mtu huwezi kukuta watu wengi wanacheza fifa ,mimi mwenyewe naonanaga liko slow sana!!!!,,,tafuta pes 2013 au 14 ucheze kwenye pc ya kawaida.
 
vipi PES 2014 naweza pata lenye wachezaji wa 2021?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom