Unataka dakika ngapi ??Hawa wehu nini?!dakika 90 zenyewe ni chache
Hawa jamaa wanataka kutupunguzia ladha ya soka. Sasa dk 60 kweli nikalipie hela yangu ya kiingilio pale Taifa ? Sasa nitakuwa nimepata ladha gani kwa hizo dk 60?
Bora wangeongeza dk 120 ili muda uwe wa kutosha jamani.
wewe jamaa mchochezi sana . Nani amesema siendi Taifa kuangalia hata90=huendii
60=utaendaje hioo taifa