Emmadogo
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,126
- 3,751
Itakuwa poa kwa wazee wa kubetiDraw zitakua nyingi
Itakuwa poa kwa wazee wa kubetiDraw zitakua nyingi
wewe kweli akili tatu dah...nimecheka sana leomi nadhani ingekuwa busara akaongeza kila kipindi ndio iwe dakia 60,yani kipindi cha kwanza dakika 60 kipindi cha pili dakika 60,extra time iwe dakika 40 penalti ziwe 10 kwa 10,kusiwepo na offsaid na kadi nyekundu iondolewe iwe kadi ya njano,na nyeusi,yani mchezaji akifanya kosa anapwa kadi ya njano,akirudia anapigwa tena kadi ya njano,akirudia mara ya tatu anapigwa tena kadi ya njano,mara nne anapigwa kadi nyeusi ya kumsimamaisha kucheza mpira kwa muda wa miezi mitatu
Kwani bila kuitaja ccm huwezi kucoment???hawa FIFA vip nao wameanza kuwa na akili za kiccm
ama kweli we akili tatu ntawafkishia fifa maoni yako mkuumi nadhani ingekuwa busara akaongeza kila kipindi ndio iwe dakia 60,yani kipindi cha kwanza dakika 60 kipindi cha pili dakika 60,extra time iwe dakika 40 penalti ziwe 10 kwa 10,kusiwepo na offsaid na kadi nyekundu iondolewe iwe kadi ya njano,na nyeusi,yani mchezaji akifanya kosa anapwa kadi ya njano,akirudia anapigwa tena kadi ya njano,akirudia mara ya tatu anapigwa tena kadi ya njano,mara nne anapigwa kadi nyeusi ya kumsimamaisha kucheza mpira kwa muda wa miezi mitatu
Kajifunze kwanza kuandika,huelewekiMpira wenyewe umewahi au unakuja kucheza au unaropoka tu
Tafuta kazi nyingineSasa ndugu kaz ya kubet itakua ngumu sasa
Hawa jamaa wanataka kutupunguzia ladha ya soka. Sasa dk 60 kweli nikalipie hela yangu ya kiingilio pale Taifa ? Sasa nitakuwa nimepata ladha gani kwa hizo dk 60?
Bora wangeongeza dk 120 ili muda uwe wa kutosha jamani.
Mawazo yako na yangu ni sawia kabisaa. Waongeze zifike 120, na sio ku2punguzia.
120 halafu za nyongeza 90Unataka dakika ngapi ??