Ndio wanaojua mpira kwa sasa!nimeona list ya world fifa players,ni wachezaji wa timu za spain pekee!jee uk,italy,german,france hakuna wachezaji?
EPL na kwingineko huko kuna nini?
wewe ungemuweka nani badala ya nani
Ashley Cole instead of Marcello, Philip Lahm badala ya Alves, Chiellini badala ya Pique
Kwahio na wewe ungechagua 8 from spain ? by the way umeangalia opta index uka-compare effects za hawa wachezaji kwa msimu uliopita pass completion, assists, tackles n.k?
By the way hapo juu mtu aliesema ni Blatter ndio anachagua amekosea wanaochagua ni proffessional football players around the world
Sio mimi niliyemmention Blatter Mkuu
Msimu uliopita Pique alicheza game ngapi au alikua dropped for most of the games kwa sababu ya kiwango chake kushuka? na maisha nje ya uwanja kumuuzi boss.
Alves ametumia muda mwingi msimu uliopita akiwa majeruhi.
Sihitaji hizo so called "opta index"
kujua kwamba Ashley Cole is more of a defender than Marcello in fact he is a Champions League winner. Na pia nimesikitika kwa wachezaj kama Andrea Pirlo kukosekana kwenye hiyo list na zile beki tatu za Juve, Bazziagri, Bonuchi na Chiellin, hata mmoja jaman? They were outstanding for their club and country throughout the season
yah, unajua huyu hajamuona RVP ndio maanaNdio wanaojua mpira kwa sasa!
Chelsea jana kapigwa na katim kadogo tu, wenzio pale Spain hawapigwi hovyo, msimu huu Barcelona imefungwa mechi moja tu. Moja na Madrid na nyingine na Celtic. Haya sema chelsea kapigwa mechi kibao na hata UCL hawapo, Man u mwenyewe kaponea chupuchupu kutoka UCL, kwa hiyo ubora wa mchezaji unapimwa pia kwa performance ya timu yake. Chelsea unaowasema ni vimeo sana ambao hawatabiliki wakienda uwanjani watafanya nini.
Chelsea kaandika record kibao mwaka huu, timu ya kwanza iliyoshinda ucl iliyoshindwa uefa supper cup, ya kwanza kutoka ucl kwenye makundi, ya kwanza kutoka ulaya ilyotoka mikono mitupu fifa club world cup, ya kwanza ambayo ilishindwa kufunzu uefa badala ikaenda kama bingwa mtetezi. Sasa timu kama hii utacompare na Barcelona, Madrid, atletico Madrid. Mimi naamini wamefanya vema hawajakosea. Hii inaonyesha ligi ya Spain ni bora zaidi kwa sasa.
Well football is a game of opinions na zaidi ya proffessional footballers elfu 50 wamechagua hao binafsi naona Ashley Cole tangia amekwenda Chelsea ni just average Pirlo ndio ni mtaalamu lakini maybe league anayocheza haina exposure kama wenzake na ni debatable kama ni zaidi ya waliochaguliwa (ndio tunarudi pale pale its just opinions) ingawa nakubali kwamba katika the best Passers of the Ball Pirlo naye yumo
yah, unajua huyu hajamuona RVP ndio maana
Angalia unachokisema mwenyewe, mwaka huu, hiyo team wala awards sio za perfomance za mwaka huu ila mwaka jana, hivi kuna kipimo kizuri cha team perfomance kama vikombe? Hao barca walishinda kombe gani kubwa mwaka jana? Kama unaongelea kutokufungwa Juventus wamemaliza msimu mzima bila kufungwa hata match moja, lets be honest na tupunguze ushabiki wa kipuuzi.
Seria A haina exposure? Are you serious? Kama hujui nenda kagoogle itakusaidia au mtafute Gang Chomba
yah, unajua huyu hajamuona RVP ndio maana