FIFA Confederations Cup Brazil 2013

ITALY wameshinda tusubiri BRAZIL na HISPANIA
 
Italy mshindi wa 3. Brazil wa 2, Spain Bingwa.
 
italia take third position baada ya lugano kutolewa penati yake na buffon...


forza azurri forza italia
 
Inaoneka Italy wamejirekebisha sana kwenye Penalty hususani baada ya kutolewa na Spain kwa penalty katika hatua ya Nusu fainali.

Hongera Italy.
 
Ninatamani sana Fainali ya Brazil na Spain nayo ifikie kwenye Penalty.
Ili tupate uhondo wote, mwanzo mwisho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…