Navas kaingizwa kumrudisha Chiellini nyuma!
Swali muhimu hilo Mkuu
japo ukocha ni professional lakini mida mingine wanakera sana, mpaka sasa sielewi ni kwa nini Brazil hawakumchagua Ramires kitu kilichofanya nihame timu yao kwenye michuano hii. yule dogo manywele upanga anajua sana wakimpa nafasi atawasaidia.
Shughuli pevu kati ya Old school guard Chiellini na kiberenge Navas!hawa ndio wanadictate pace ya mchezo!
japo ukocha ni professional lakini mida mingine wanakera sana, mpaka sasa sielewi ni kwa nini Brazil hawakumchagua Ramires kitu kilichofanya nihame timu yao kwenye michuano hii. yule dogo manywele upanga anajua sana wakimpa nafasi atawasaidia.
Ramires mgonjwa nasikia!
Mpaka sasa Navas kafichwa kwenye makwapa ya Chiellini
Hatuna wafungaji!Candreva dah!
Prandelli kaua timu.Marchisio out!Aquilani hakabi jamani!
Nadhani ntakuwa fair nikisema Girladino hapati mipira ya kumfaa.Playmakers wetu vipi?
Hawa jamaa watatuchelewesha kulala.