Fifa ni kali kuanzia Physical Appearance za Wachezaji,Imekaa ki Uhalisia zaidi,viwanja safi,kanzu,vidari,danadana n.k vipo kwa sana ila kwangu binafsi Siipendi kutokana na Kuwepo kwa Uwezekano wa Kufunga si mkubwa kama PES/Winning Eleven. Ubaya PES ni kwamba hawajakaa ki Technique zaidi katika Wachezaji bali wao ni NGUVU,na unaweza kushinda Magoli mengi tu. Pes hawana mvuto kwa Fifa
aisee hebu tutafakari vizuri...unavyocheza game kama hizi za mpira na magari na nyinginezo unataka jinsi unavyocheza uwe unaweza na ujione noma au unataka mazingira yafanane na uhalisia?....
Mimi kwa upande wangu fifa2012 ni balaa....ipo kiuhalisia zaidi..mdau mmoja ameongelea swala la ufungaji na faulo.. Mtazamo wake ni mzuri tu lakini I'm sure akiipatia vizuri jinsi ya kukaba na kufunga hata kaa aachie kuicheza..
Dah nami nielekezeni mnako download hayo magame mana mimi kila website ninayo fungua nakuta demos tu au yanauzwa so nisaidieni jinsi ya kudownload full version for free
If you are truly in love with Football, and if Video / PC gaming is your nature. and above all if you do need to feel like ur in a real world when you console games. regardless if its a football game, or battle. EA sports their are MASTERS on this industries. jamaa wanatengeneza game za uhalisia. so huwezi kupoteza hata sekunde moja kuwaza kipi bora kati ya FIFA version yoyote ile na PES yoyote ile... FIFA rocks in any other languages...... kila game yao uhalisia unaongezeka... lakini kama ww unajifunza kupotezea mda kwenye games utaboreka. lakini kama ni "GEEK" u know what to pick.
FIFA IS THE BEST . i ahve been playing all version of FIFA.. and they all ROCKS... in so many ways... PES bado sanaaaaa, kuanzia graphics, uhalisia na kila kitu
u hav nt bn specific but fifa ni zuri only kwenye PC.Realistic looking players n ol that. Ila kwenye Ps consoles fifa kinda sux,graphics are off(especially Ps2) its a bit slow also. So on Pc its Fifa on PS ts Pes 4 me