Kwenye uwezo wa kununua online aninunulie kwa hyo bei then ntamlipa na faida ya 15%
mhhu kwa iyoo Mkuu Apo haitakubal 17 Coz 14 ndo Nachezaga na ile 16 ya Vikosi Vipya tuIntel HD graphics 3000
Unaweza cheza Fifa 14 with low settings.
Na apo hakuna jins ya kuifanya. ichezee?Je Naeza Update Fifa 14 niliyonayo ije 17 kama vp?Haiwezi hata kama itakubali sidhani kama itachezeka.
sawaa brazaa eb niambie mashine gan inafaa enye specs nzur ili nisisumbuke kweny Games coz Napenda sana FifaUkitaka better gaming experience, tafuta mashine yenye specs nzuri.