Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
asee nna a friend in Mwz the guy ametafuta mbabe to the point of going around the game stops and offering money to anyone who can beat him and none has been able to beat him. In Dar i also have a guy ni un beaten and looking badly for a worthy opponent. Where do u hang around the most? U guys must meet up!!
acha kuntisha wewweee nmekutana na wa2 km wewe eti anacheza online na wakali wa fifa abroad...nikambamiza cnaga huruma mm...nakupa mechi 3 ukitoa draw moja we kidume
vitendo dhidi ya maneno unaweza njoo chemba tupange,nimecheza player career mtu wangu Mndengereko ana general perfomance ya 85 we utacheza miaka mia hugusi hiyo na msimu uliopita nimekuwa player of the season usinipimieha ha ha ha Jamaa una mikwara wewe.
yuko wap huyo mi namtaka......
Mndengereko unaitwa hapa.
ngoja nianze kumfuata mmoja mmoja chemba maana naona maneno mengi vitendo hamna,nahisi ww ndo utakuwa una bahati mbaya coz nataka nianze na ww
ha ha ha ha mimi level nyingine kijana.
...mndengereko naomba mniite cku ya mechi hata kwa kulipia nione nani bingwa?...
me napita tu sio hobby yangu
AHHAAA yani huko ndio ukae utulie nimepewa mke kama tuzo kwa ajili ya drafti...we nambie tu kama mtaalam wa frencha au laa?.
Njoo nikuteketeze kwenye draft...
.
.
AHHAAA yani huko ndio ukae utulie nimepewa mke kama tuzo kwa ajili ya drafti...we nambie tu kama mtaalam wa frencha au laa?
haya mkuu usije ukasahau njia ya kwenda kwenu tuu maana kitaa asiyenijua nani...UJIPANGE SAWASAWA me siongei sana coz kipigo tu sina siasa tantalila.
Heheeee mi iwe french iwe nn
.
Ni mauaji tu kiongozi
.
Kwenye french huko
.
Waulize ma bint wale nilicho wafanya... Na nazid kuya tafuta mengineee
.
Ila draft la kawaida nakuonea huruma
ALEYN Hiyo Fifa 14 unaitoa bure? Mie napenda sana game za soccer ila huwa nashindwa kufanya settings. Kwasasa nina Fifa12 lakini inanizingua. Sijui nini kinapungua. Hai-load.
haya mkuu usije ukasahau njia ya kwenda kwenu tuu maana kitaa asiyenijua nani...UJIPANGE SAWASAWA me siongei sana coz kipigo tu sina siasa tantalila